Chibu Junior kakosa kick ya kutokea

Status
Not open for further replies.
mtoto choko kabisa cheki mwandiko wake.
 
Mimi nadhani domo aliwaprove wrong mademu waliodai risasi zake povu.. Ndio maana hii sasa kawaida by the way king anao watatu sio issue
 
Tee kwenye 40 yake ndio alitangazwa rasmi ambassador Wa NMB na Msasani & Pugu shopping malls so kwa chibu junior ni mapema sana kujua
 
Halafu usisahau watu walikuwa na kiherere sana cha kumsubiria Tiffa ili waone ikiwa atakuwa na mdomo kama wa Chibu au Katunzi... taifa lina mambo hili!
Aisee nimecheka sana
Eti " taifa lina mambo hili" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nadhan wewe mleta uzi ndio unatafuta pa kutokea! Chibus hawawezi kutafuta kuni kama wapo msituni! Hivi kwanza acc yako ina sh ngapi? Xmas inakaribia fanya kazi uongeze kipato usikalie ya watu utaolewa!
 
Huyu aliyeandika huu uzi ni mwanaune [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…