nawatia joto eeheeee??wanaume watu wazima na kengele zenu mbili kupoteza nguvu kuongea na kubishana kwa msomjua ni kazi saana na yahitaji moyo sasa ww hunijui skujui na wala sijaku pm maisha yangu na jinsia yangu vinakuhusu nn wakati hatujuani kiumeni wala kikeni na wala sijaombamchango wa bando kwa nyie wanaume boxer jifunzeni kutafuta ela kuliko kukaa na kufatiliaa ya watu mishipa imewasimama kuwasema watu badala iwasimame mkiwa kitandani mxieeeeeeewkitandani mnaishia kuliaa na kutoa michozi nguvu mnapotezea mitandaoni kubishna na siyewajua