Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

Duuu aibu
 
Duuu aibu
 
Diamond kinachomuumiza sana ni brand yake maana akikumbuka kilichomkuta baada ya kuachana na wema ndo icho kitakachomkuta pindi atako mdrop zari, lakin in reality hakuna kijana yyt anayeweza kivumilia kukaa na mwanamke aliyemzid umri kiasi icho na mitoto juu. Kwa navohisi domo itakuwa alikuwa kashaanza kutengeneza maisha mapya na hamissa kisiri siri ili baadaye hata ikija kuvuma iwe rahisi kumuacha zari sema ndo ivo mipango imevurugika kabla. To be honest hata mm siwezi kuvumilia kuishi na mwanamke anaelekea menopause wakati mm ndo dam mbich kabisa.
 
Busara za zari ni zipi?ulishamuona zari ama kusoma stori zake akiwa na umri kama wa Hamisa?
Ni wale wale,umri umeenda tu..
Zari ana sex tape mitandaoni so sijui kipindi anachukua hii video busara alikuwa amemuacha wapi.?
 
Umeona wangu hadi nimemchukia she is so selfish ,halafu hana kazi wala biashara anayofanya na shule alikimbia kule madenge Tandika
Kamaliza form four Tandika secondary jamani looh!
 
Fact kwa kweli na sex tape juu kwahili mond hawez laumiwa jmn sema tukinao ndo anamganda na ile timu yake mwanaume gan ataemkubali

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
Busara za zari ni zipi?ulishamuona zari ama kusoma stori zake akiwa na umri kama wa Hamisa?
Ni wale wale,umri umeenda tu..
[emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji1] bora joanah uulize mama
 
Mwanamke amekuzid miaka saba huko kama sio nane kwanza unakuwa huwez hata kuuonesha uanaume wako hata kujiamin hutokuwa nao

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
Wewe dadake? Mamake? Shost? Au hamisa mwenyewe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]mnataka kila mtu amponde tu...
Kwa lipi?!acheni chuki nyie wenyewe ukute mna stress za kufa nyau mnamalizia kwa mtoto wa watu kaaah
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe ushawahi omba ukanyimwa ndo maana poleeee
Pambana na hali yako
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe ushawahi omba ukanyimwa ndo maana poleeee
Pambana na hali yako
Ndy maana mkapewa laki mbili kwa mwezi...maana mkipewa nyingi mnasumbuw wtu mjini..huyo hamisa ni sawa na Mlevi tu....anakuomba pesa unampa AKISHALEWA anarudi kukutukana...ndy maana DAI akasitisha pesa....leo analalama mahakamani..hapewi mtunzo....hizo pesa zingemsaidia kufungua hata biashara kuliko kutegemea KUVULIWA CHUPI mjini humu...pia anapaswa apambane na hali yake sio apambane na wengine.....atakuja kudaiwa DNA ya mtoto aumbuke....mtoto mwenywe wa KUCHOMEKEA.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…