Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

Pambana na hali yako ungekua na busara kipindi haswa kipindi zari anachezewa na diamond bafuni ungempa ushauri mtu mzima yule

She is jus 24 ujana maji ya moto!fancy baba ake anajielewa kila mtu na life lake looohhh!
Mlitaka azae na nani?hahahaaaaaaa
Ndo ashazaa na diamond na ndo ashafanya party

Mwanamke jeuri muibie mmewe
Duuu aibu
 
Wanaume wa DAR. Awapendi mwanamke asiye Na pesa. Wengi ni Mario. Na baati nziri Diamond kidogo anazo. Lakini anampenda Zari sababu ya pesa. Nani atakwenda kwa mwanamke pesa hana. Na siku hizi mtindo wa kisasa ndio huo. Hamissa Mabeto akaye mbali sana. Pesa mamaa
Diamond kinachomuumiza sana ni brand yake maana akikumbuka kilichomkuta baada ya kuachana na wema ndo icho kitakachomkuta pindi atako mdrop zari, lakin in reality hakuna kijana yyt anayeweza kivumilia kukaa na mwanamke aliyemzid umri kiasi icho na mitoto juu. Kwa navohisi domo itakuwa alikuwa kashaanza kutengeneza maisha mapya na hamissa kisiri siri ili baadaye hata ikija kuvuma iwe rahisi kumuacha zari sema ndo ivo mipango imevurugika kabla. To be honest hata mm siwezi kuvumilia kuishi na mwanamke anaelekea menopause wakati mm ndo dam mbich kabisa.
 
Fact kwa kweli na sex tape juu kwahili mond hawez laumiwa jmn sema tukinao ndo anamganda na ile timu yake mwanaume gan ataemkubali

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
Diamond kinachomuumiza sana ni brand yake maana akikumbuka kilichomkuta baada ya kuachana na wema ndo icho kitakachomkuta pindi atako mdrop zari, lakin in reality hakuna kijana yyt anayeweza kivumilia kukaa na mwanamke aliyemzid umri kiasi icho na mitoto juu. Kwa navohisi domo itakuwa alikuwa kashaanza kutengeneza maisha mapya na hamissa kisiri siri ili baadaye hata ikija kuvuma iwe rahisi kumuacha zari sema ndo ivo mipango imevurugika kabla. To be honest hata mm siwezi kuvumilia kuishi na mwanamke anaelekea menopause wakati mm ndo dam mbich kabisa.
Mwanamke amekuzid miaka saba huko kama sio nane kwanza unakuwa huwez hata kuuonesha uanaume wako hata kujiamin hutokuwa nao

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
Wewe dadake? Mamake? Shost? Au hamisa mwenyewe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]mnataka kila mtu amponde tu...
Kwa lipi?!acheni chuki nyie wenyewe ukute mna stress za kufa nyau mnamalizia kwa mtoto wa watu kaaah
 
Naunga mkono hoja mkuu....tuseme ni kama alikuwa anafikiria pa kutokea huyo KIDOMO.....mtoto hata miezi miwili haijafika KAMBURUZA DAIMOND mahakamani kwa MATUNZO,,,,na baada ya AROBAINI....jana imefata PART YA KUMPONGEZA MTOTO,,,sasa hizo pongezi za mamilions ya maandalizi ya PART sijuwi za nn ...nasikia anataka 5 mls kwa mwezi. ...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe ushawahi omba ukanyimwa ndo maana poleeee
Pambana na hali yako
 
Ndy maana mkapewa laki mbili kwa mwezi...maana mkipewa nyingi mnasumbuw wtu mjini..huyo hamisa ni sawa na Mlevi tu....anakuomba pesa unampa AKISHALEWA anarudi kukutukana...ndy maana DAI akasitisha pesa....leo analalama mahakamani..hapewi mtunzo....hizo pesa zingemsaidia kufungua hata biashara kuliko kutegemea KUVULIWA CHUPI mjini humu...pia anapaswa apambane na hali yake sio apambane na wengine.....atakuja kudaiwa DNA ya mtoto aumbuke....mtoto mwenywe wa KUCHOMEKEA.....
 
Back
Top Bottom