Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

SHIDA SIO KUWA NA WATOTO. NI AFADHALI ZARI HATA AKIWA NA WATOTO KUMI NA BABA TOFAUTI ILA ANA BUSARA HUYU MWINGINE NI KANGA MOKO
Busara za zari ni zipi?ulishamuona zari ama kusoma stori zake akiwa na umri kama wa Hamisa?
Ni wale wale,umri umeenda tu..
 
There you are ...sasa tujulishane...tabu ya uke wenza au shida yake ipo wapi....as long as mwanaume anauwezo wa kuprovide equally kwa kila mmoja?
Tatizo lao kila mmoja anataka kujionesha ni mmiliki halali
Na watanzania tulivyo na akili mbovu tunashupalia kabisa eti Diamond awe na huyu amuache huyu...huyu anamfaa huyu hamfai
 
Umejitahidi sana kumtetea huyo limbukeni wa maisha(hamisa),kwa anayoyafanya huyu mtoto ananipa wasiwasi na uelewa wake,pengine sio mzima,hua najiuliza Kwanini hizi vurugu hakuzifanya alivyozaa na majizo?
Mkuu swali la msingi sana hilo, agiza chochote hapo nalipa
 
Tatizo lao kila mmoja anataka kujionesha ni mmiliki halali
Na watanzania tulivyo na akili mbovu tunashupalia kabisa eti Diamond awe na huyu amuache huyu...huyu anamfaa huyu hamfai
Joahah, wewe upo nje wao wapo ndani ndio maana wewe una maono hayo, so kwao sina hard feelings! My disappointment goes to their funs! Watu wengine wanapigana, wengine wananuniana for nothing, people go get life! [emoji12] [emoji12]
 
Eti Hamisa miaka 24? Kwanini hawa watu wote ni miaka 24 tu? Kuanzia Hamisa, Wema, Mange, Le Mutuz, hivi kwanini lakini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mkuu umeongea kwa uchungu mnoo
 
Hizi drama zinabomoa kuliko kujenga. Muda utaongea zaidi
 
Naunga mkono hoja mkuu....tuseme ni kama alikuwa anafikiria pa kutokea huyo KIDOMO.....mtoto hata miezi miwili haijafika KAMBURUZA DAIMOND mahakamani kwa MATUNZO,,,,na baada ya AROBAINI....jana imefata PART YA KUMPONGEZA MTOTO,,,sasa hizo pongezi za mamilions ya maandalizi ya PART sijuwi za nn ...nasikia anataka 5 mls kwa mwezi. ...
 
Joahah, wewe upo nje wao wapo ndani ndio maana wewe una maono hayo, so kwao sina hard feelings! My disappointment goes to their funs! Watu wengine wanapigana, wengine wananuniana for nothing, people go get life! [emoji12] [emoji12]
Mi pia sina hiyo hard feeling ya uhalali upo kwa nani,nimetoa maono ya nje kwa wanayotuonesha sisi wa nje pia...basi

Huko kupigana,kununiana ndio akili mbovu nilizokuwa nasemea...watu sijui wakoje yani
 
hivi uyo zari mnosema ana akili ana akili gani?

bila ivan asingejiita bosslady..

katika wanawake wa diamond wakodhalilishwa ni huyu...
anashikwa shikwa uchi bafuni video zinapostiwa.IG... ww mleta uzi unaweza shika shika au kushikwa shikwa....
hivo?
mama wa watoto wa5 anahangaika na mwanaume wa kumzaa na anadhalilishwa hadharani ,mama gani huyo anaeweza hayo? mbele y watt wake kama anajiheshimu?

hivi huyo zari mbona mnataka kumfanya kama ana busara na akili saana...
She's just aBitch who's dying for fucking fame
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] mwanaume anaekupenda hawez kukufanyia alokuwa anafanyiwa tukinao
 
Mi pia sina hiyo hard feeling ya uhalali upo kwa nani,nimetoa maono ya nje kwa wanayotuonesha sisi wa nje pia...basi

Huko kupigana,kununiana ndio akili mbovu nilizokuwa nasemea...watu sijui wakoje yani
Ha ha ha ha, pengine hata wao wanatushangaa sisi tusiokuwa na upande hahaha
 
Tatizo lao kila mmoja anataka kujionesha ni mmiliki halali
Na watanzania tulivyo na akili mbovu tunashupalia kabisa eti Diamond awe na huyu amuache huyu...huyu anamfaa huyu hamfai
KWANI ZARI KASEMA NINI
 
Kweli asee
I guarantee, kutokana na hizi pande kuna watu wanatengeneza hela kwenye, you tube, instagram, mlimani city (ukumbi, mapambo, vyakula, vinywaji, n.k), birthday/ arobaini (tenders mbalimbali), hata shangazi anayepiga domo hapo lazima ashonewe batik ya kigoma, haya waandishi wa habari na kadhalika, hata ninahisi JF kwa majadiliano haya inapiga hela ndefu kwenye mayoutube na google na kadhalika....
 
Sawa hajaoa. Mwenzie zari mjanja. Anakula na bwana Sahani moja. Anagongwa kiakili na malengo.
Huyo mwenzenu anazalishwa anaachwa.
Mshaurini atulie. Mwenzake katulia na ukweni anakubalika. Kubeba shahawa za diamond ndo Iwe shida? Je Angezaa na bill Gates au Carlos Slim ingekuwaje?
Mwambieni aache ushamba. Ila Kama mnaona Sisi tunamuonea wivu hayaa.
Bwana atamkosa na madale jina limeandikwa zarina Hassan.
Mwenzake Ana akili.
Sasa ngoja nikurecharge mkuu una akili sana...
 
Naunga mkono hoja mkuu....tuseme ni kama alikuwa anafikiria pa kutokea huyo KIDOMO.....mtoto hata miezi miwili haijafika KAMBURUZA DAIMOND mahakamani kwa MATUNZO,,,,na baada ya AROBAINI....jana imefata PART YA KUMPONGEZA MTOTO,,,sasa hizo pongezi za mamilions ya maandalizi ya PART sijuwi za nn ...nasikia anataka 5 mls kwa mwezi. ...
Wenye akili wanamshangaa huyu bibie na kumuhurumia pia,

Atakuwa anawashwa washwa na hajui kidole gani chafaa kutumia kujikuna ili kupunguza muwasho km si kuuondoa kabisa

Anaboa
 
Back
Top Bottom