Chicken nugets na sosi ya ukwaju

Chicken nugets na sosi ya ukwaju

Ila jamaa wana promo sana, plus ubize wa kupiga box ha ha haa unaeza weka bill kbs. Thanks farkhina endelea kutoa somo

Hahahahahah ujitaarishie chakula cha kuchukua ukienda kazini...kuepuka hayo makorokoro....
 
Last edited by a moderator:
Farkhina ujue nahudhuria gym ila nikirudi jf nazidi ongeza pounds tuu...aaagggghhh
 
Hahahahahah ujitaarishie chakula cha kuchukua ukienda kazini...kuepuka hayo makorokoro....

Farkhina sasa hizi lunch box kupasha ni kwa kutumia microwave? Nazo nasikia sijui zinafanya msosi uwe na carcinogen agents aaagh
Mie siku moja moja nikitongwa nagonga zangu twister combo & coke siku ipite. Complex complex life style sijui tupate wapi pakutokea kila sehem ni kama pana shida
 
Hahahaahaa nini siri yako kuhusu Jf? Mi naona vidole vyapata sugu tu
misosi ya shoga angu hapa..yani kila week najaribu atlist one of her foods!
jf nahisi nmekuwa addicted humu!!
kila nipatapo dakika lazima nicheki whats uppppppppp!
 
misosi ya shoga angu hapa..yani kila week najaribu atlist one of her foods!
jf nahisi nmekuwa addicted humu!!
kila nipatapo dakika lazima nicheki whats uppppppppp!
duh haya, we kula bana MAISHA NI SASA sio kesho
 
Hii kitu nami njaa yangu si ni hatari tupu..
attachment.php
 
misosi ya shoga angu hapa..yani kila week najaribu atlist one of her foods!
jf nahisi nmekuwa addicted humu!!
kila nipatapo dakika lazima nicheki whats uppppppppp!

chezea fakhiiiii wewe lazima uvimbiwe..
 
Mahitaji
1)Chicken breast(kata vipande vidogo kiasi)
2)pilipili manga
3)mayai
4)chumvi kiasi
5)unga wa ngano
6)Mafuta ya kupikia

Namna ya kutaarisha
1)Weka chumvi katika chicken breast pamoja na pilipili manga...acha vikolee kwa dakika 15
2)paka unga wa ngano juu ya kila kipande cha kuku
3) changanya mayai kwenye bakuli na uweke kila kipande cha kuku...
4)weka karai mafuta yakipata moto kaanga hadi viwe brown....

Sosi
1)ukwaju
2)pilipili kiasi
3)chumvi
4)kotmiri/giligilani
5)tende toa kokwa/asali

1)roweka ukwaju kwa dakika 5
2)toa makokwa na uchanganye na pilipili, chumvi,kotmiri(giligilani),tende ama asali na maji kiasi saga kwa blenda

Chicken nuggets tayari kwa kuliwa...
Habiba al-azziza... Umeua na kufilisi biashara ya "McDonalds" Hardees, Big MAC, hata KFC !! Lakini angalia usiingilie biashara ya BAKHRESSA !!! hapo kikomo... tutakhasimiana.
 
Habiba al-azziza... Umeua na kufilisi biashara ya "McDonalds" Hardees, Big MAC, hata KFC !! Lakini angalia usiingilie biashara ya BAKHRESSA !!! hapo kikomo... tutakhasimiana.

Hahahahaha lol.....simuwezi bakhresa kwa kweli habiby....
 
misosi ya shoga angu hapa..yani kila week najaribu atlist one of her foods!
jf nahisi nmekuwa addicted humu!!
kila nipatapo dakika lazima nicheki whats uppppppppp!

Hahahaha shosti upite umefumba macho...
 
Back
Top Bottom