Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Umenikumbusha ile mada ya nguruwe.. Food is food?? Nah never jipe moyo tu
Sijipi moyo wala nini. Ndo ukweli wenyewe huo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha ile mada ya nguruwe.. Food is food?? Nah never jipe moyo tu
Hahahahahah ujitaarishie chakula cha kuchukua ukienda kazini...kuepuka hayo makorokoro....
Farkhina ujue nahudhuria gym ila nikirudi jf nazidi ongeza pounds tuu...aaagggghhh
Sijipi moyo wala nini. Ndo ukweli wenyewe huo.
misosi ya shoga angu hapa..yani kila week najaribu atlist one of her foods!Hahahaahaa nini siri yako kuhusu Jf? Mi naona vidole vyapata sugu tu
duh haya, we kula bana MAISHA NI SASA sio keshomisosi ya shoga angu hapa..yani kila week najaribu atlist one of her foods!
jf nahisi nmekuwa addicted humu!!
kila nipatapo dakika lazima nicheki whats uppppppppp!
misosi ya shoga angu hapa..yani kila week najaribu atlist one of her foods!
jf nahisi nmekuwa addicted humu!!
kila nipatapo dakika lazima nicheki whats uppppppppp!
Habiba al-azziza... Umeua na kufilisi biashara ya "McDonalds" Hardees, Big MAC, hata KFC !! Lakini angalia usiingilie biashara ya BAKHRESSA !!! hapo kikomo... tutakhasimiana.Mahitaji
1)Chicken breast(kata vipande vidogo kiasi)
2)pilipili manga
3)mayai
4)chumvi kiasi
5)unga wa ngano
6)Mafuta ya kupikia
Namna ya kutaarisha
1)Weka chumvi katika chicken breast pamoja na pilipili manga...acha vikolee kwa dakika 15
2)paka unga wa ngano juu ya kila kipande cha kuku
3) changanya mayai kwenye bakuli na uweke kila kipande cha kuku...
4)weka karai mafuta yakipata moto kaanga hadi viwe brown....
Sosi
1)ukwaju
2)pilipili kiasi
3)chumvi
4)kotmiri/giligilani
5)tende toa kokwa/asali
1)roweka ukwaju kwa dakika 5
2)toa makokwa na uchanganye na pilipili, chumvi,kotmiri(giligilani),tende ama asali na maji kiasi saga kwa blenda
Chicken nuggets tayari kwa kuliwa...
Farkhina ujue nahudhuria gym ila nikirudi jf nazidi ongeza pounds tuu...aaagggghhh
Habiba al-azziza... Umeua na kufilisi biashara ya "McDonalds" Hardees, Big MAC, hata KFC !! Lakini angalia usiingilie biashara ya BAKHRESSA !!! hapo kikomo... tutakhasimiana.
misosi ya shoga angu hapa..yani kila week najaribu atlist one of her foods!
jf nahisi nmekuwa addicted humu!!
kila nipatapo dakika lazima nicheki whats uppppppppp!
Hii kitu nami njaa yangu si ni hatari tupu..
![]()
Sabah el-kheri naona ndo umeamka.... haya sasa lete Spesho Meal of the day!!Hahahahaha lol.....simuwezi bakhresa kwa kweli habiby....
Sabah el-kheri naona ndo umeamka.... haya sasa lete Spesho Meal of the day!!
kweli eti! jina honey boo boo naona ntamilikishwa soon...!Hahahahaaha jamani...
kweli eti! jina honey boo boo naona ntamilikishwa soon...!