Chid Benz ametoroka sober house

Sasa km bunge halionyeshwi....?! Si.
Bora tuendelee na upuuzi wa kina Kala pina na mateja wote[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hakuna namna
πŸ™‚πŸ˜‰πŸ™πŸ˜‘πŸ˜•πŸ˜ŽπŸ˜›πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜³πŸ™„πŸ˜΅hahaha eti kamabunge halioneshwi tuendeleena upuuzi wa kinapina na wateja hahahahaha umetisha
 
Kwenye hiko kipindi cha tv kama wataonyesha jinsi alivyokuwa anaondoka italeta majibu sahihi
maneno ya meneja wa soba house huyaamini? maana ndio anahojiwa hapo kwenye clip na kasema ameondoka kabla ya kupona
 
Hii sasa sijui ndo hujafa hujaumbuka??? Manake alivyoisha ukiambiwa katoroka kwenye matibabu..... Kazi ipo
 
πŸ™‚πŸ˜‰πŸ™πŸ˜‘πŸ˜•πŸ˜ŽπŸ˜›πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜³πŸ™„πŸ˜΅hahaha eti kamabunge halioneshwi tuendeleena upuuzi wa kinapina na wateja hahahahaha umetisha
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji12] [emoji12] ndio mkuu
 
Mbwa ni mbwa tu hata akiwa anapiga mswaki asb na jioni. Mbwa yake kurudia matapishi
 
aje huku mtaani, sura awe kama Kingunge Ngombale Mwiru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…