Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳🙄😵hahaha eti kamabunge halioneshwi tuendeleena upuuzi wa kinapina na wateja hahahahaha umetishaSasa km bunge halionyeshwi....?! Si.
Bora tuendelee na upuuzi wa kina Kala pina na mateja wote[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji86] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hakuna namna
maneno ya meneja wa soba house huyaamini? maana ndio anahojiwa hapo kwenye clip na kasema ameondoka kabla ya kuponaKwenye hiko kipindi cha tv kama wataonyesha jinsi alivyokuwa anaondoka italeta majibu sahihi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji12] [emoji12] ndio mkuu🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳🙄😵hahaha eti kamabunge halioneshwi tuendeleena upuuzi wa kinapina na wateja hahahahaha umetisha
Chid kashapona yuko feet nilikutana nae kkoo leoSasa ameshapona kabisa?
Wasingemuonesha kwanza wangempa kama mwezi baadae nyama zirudi.
Chid Benz amedaiwa kutoroka sober house baada ya kukaa muda wa mwezi mmoja, watu waliokuwa wanamuangalia wanasema inawezekana alikuwa hajazoea kukaa kufungiwa kila mara ndio maana akaondoka lakini alikuwa hajapona kabisa
wamedai pia alikuwa mkorofi na alikuwa hayupo tayari kusaidiwa
mahojiano kati ya mwandishi wa na meneja wa Bagamoyo sober house haya hapa kuhusu maisha ya jamaa yalivyokuwa