tegeta ndo alikokuwa anatafunia hizo pouder zakeMeneja wa Diamond akishirikiana na Kalapina wamempeleka Chid Benz Life and Hope Rehabilitation Organization iliyopo Bagamoyo kwa ajili ya kusaidiwa kuacha marumizi ya dawa za kulevya
View attachment 331966
hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni rapa huyo kuomba msaada baada ya kuona ameshindwa kukabiliana na matatizo ya kiafya yanayomkabili
kupitia ukurasa wake wa Instagram Babutale ameandika
mwana amekubali kukaa soba ila anasisitiza wana mje kumtembelea kumpa pole na kuleta mapokopoko manjari. Mungu bariki hii safari ya matumaini
mimi mwenyewe nina wasiwasi na discipline aliyonayo chid benz, huu unaweza ukawa mtihani mkubwa sana kwake, kupona sio kutumia methadone tu, bali hata tabia ya mtumiaji inachangia sana kuona/kutoponaHapo atahitaji miaka takribani 3 ya kutumia "METHADONE." Inahitaji commitment.
Imposible haitakaa itokee akarudi afya yake ya mwanzo sahauuu na hayo ma matherdone ndiyo balaa yakisha kuwa addicted kwenye mwili huwezi tena kuyaacha ukiyaacha ndiyo mwisho mwisho wako wa kuishi!Mungu amsaidie apone na arudi kama mwanzo
Kingine nahisi wengi wa mateja wanakua ni waathirika wa UKIMWI kutokana na mazingira ya utumiaji wa madawa.Dah ananikumbusha Langa ,jela kifo au taasisi ndio mwisho wa uteja ,nishakua mteja utaniambia nini ,amefanikiwa kutibiwa halafu ndio aka danja R.I.P Langa
hahhahaaahhahahhhah....hahahahahahah kwahiyo emesisitiza watakaoenda kumtembelea wasisahau na mapokopoko!!?? inawezekana huyu njaa zilitaka kumrestisha
Ni kweli inawezekana hasa kwa hawa wanaotumia sindanoKingine nahisi wengi wa mateja wanakua ni waathirika wa UKIMWI kutokana na mazingira ya utumiaji wa madawa.