Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Mpumbavu sana,hana akili,kwa kua kaingia mwenyewe kingi,hatoki.fisi sana yule. Wamuache tu afe.CHID BENZ hakuwa mtu wa maana, sioni faida yeyote ya watu kumsaidia. Wimbo alioutoa kipindi cha uchaguzi 2015 ulijaa matusi, ubaguzi, unyanyapaa, etc, na ulikuwa wimbo usio na adabu wala usiopendeza masikio! Leo hii mimi na akili zangu nimuonee huruma mjinga kama huyu? Mkuu naungana na wewe! Wangemuacha afe tu! Ili iwe fundisho kwa wajinga wenye akili kama zake! Hata hivyo hatoboi! Bora Mangwea Mungu alimchukua(MUNGU AMLAZE PEMA, PEPONI)Lakini hakuwahi kutukana mtu yeyote kwa sababu za kisiasa!