Chid Benz apelekwa Bagamoyo sober house

Chid Benz apelekwa Bagamoyo sober house

CHID BENZ hakuwa mtu wa maana, sioni faida yeyote ya watu kumsaidia. Wimbo alioutoa kipindi cha uchaguzi 2015 ulijaa matusi, ubaguzi, unyanyapaa, etc, na ulikuwa wimbo usio na adabu wala usiopendeza masikio! Leo hii mimi na akili zangu nimuonee huruma mjinga kama huyu? Mkuu naungana na wewe! Wangemuacha afe tu! Ili iwe fundisho kwa wajinga wenye akili kama zake! Hata hivyo hatoboi! Bora Mangwea Mungu alimchukua(MUNGU AMLAZE PEMA, PEPONI)Lakini hakuwahi kutukana mtu yeyote kwa sababu za kisiasa!
Mpumbavu sana,hana akili,kwa kua kaingia mwenyewe kingi,hatoki.fisi sana yule. Wamuache tu afe.
 
Mungu amsaidie apone na arudi kama mwanzo
Mungu hakumshaur wala kumlazimisha kutumia hayo madudu,Vijana wanatumia maunga kwa ujinga wao,ila shida wanawapa watu wengine kabisa.Chid,Q chillah,Ray C,Ngwea na wengineo wote walikua wanajua UNGA una athar
 
hapo wanamharibu inatakiwa tu asipewe madawa, akae hata nyumbani lakini wahakikishe hapati unga, wampe msosi wa nguvu uliotimia, muda wa arosto wamwache ikiwezekana wakae mbali nae maana watamwonea huruma, taratibu ile sumu itatoka ktk damu lakini hivyo hamna kitu
 
Ni MUNGU tu atende miujiza yake ili aache kutumia hiyo kitu;
na kuacha ni yeye aamue mwenyewe kuwa sasa basi;
vinginevyo wengine huwa wanarudia poda.
Nafsi yake inataka kuacha ila mwili wake hautaki.Power of drug addiction.
 
CHID BENZ hakuwa mtu wa maana, sioni faida yeyote ya watu kumsaidia. Wimbo alioutoa kipindi cha uchaguzi 2015 ulijaa matusi, ubaguzi, unyanyapaa, etc, na ulikuwa wimbo usio na adabu wala usiopendeza masikio! Leo hii mimi na akili zangu nimuonee huruma mjinga kama huyu? Mkuu naungana na wewe! Wangemuacha afe tu! Ili iwe fundisho kwa wajinga wenye akili kama zake! Hata hivyo hatoboi! Bora Mangwea Mungu alimchukua(MUNGU AMLAZE PEMA, PEPONI)Lakini hakuwahi kutukana mtu yeyote kwa sababu za kisiasa!
Nikiangalia idadi ya waliomtukana Lowasa na yaliyowafika, huyu Chid Benz basi ndio tumeshampoteza, kama wapo wanaompenda wamchukuwe wampeleke kwa Lowasa amsamehe ataondoka na upako ambao utamweka huru.
 
Kumbe unga kama nyeto eehh ukianza tuu huachi.
Come back to ur normal situation ninja king kong mfalme wa ilala.
Sipendi tabia zako ila naupenda mziki wako
 
Meneja wa Diamond akishirikiana na Kalapina wamempeleka Chid Benz Life and Hope Rehabilitation Organization iliyopo Bagamoyo kwa ajili ya kusaidiwa kuacha marumizi ya dawa za kulevya
View attachment 331966
hatua hiyo imekuja baada ya hivi karibuni rapa huyo kuomba msaada baada ya kuona ameshindwa kukabiliana na matatizo ya kiafya yanayomkabili
kupitia ukurasa wake wa Instagram Babutale ameandika

mwana amekubali kukaa soba ila anasisitiza wana mje kumtembelea kumpa pole na kuleta mapokopoko manjari. Mungu bariki hii safari ya matumaini
Shukran babutale & Kalapina. Mungu awazidishie roho za upendo.
 
Hivi Le Mutuz yuko wapi, sijamsikia siku nyingi, au nayeye kapelekwa Sober Bagamoyo?
 
Dah ananikumbusha Langa ,jela kifo au taasisi ndio mwisho wa uteja ,nishakua mteja utaniambia nini ,amefanikiwa kutibiwa halafu ndio aka danja R.I.P Langa
nilikuwa namuelewa sana lyrical and natural gifted of africa(langa),.kuna lile song la rafiki wa kweli alikuwa amevaa t-shirt iliyoandikwa langa rehabitation centre,mchizi alikuwa na dream ya kumiliki rehab yake,.amefariki hajaonesha hata 5% ya uwezo wake,mchizi alikuwa na kipaji sana,...R.I.P bruv
 
Back
Top Bottom