Kuamua mwenyewe ni ngumuNi MUNGU tu atende miujiza yake ili aache kutumia hiyo kitu;
na kuacha ni yeye aamue mwenyewe kuwa sasa basi;
vinginevyo wengine huwa wanarudia poda.
Ha ha ha. Kazi ni dawa😉....hahahahahahah kwahiyo emesisitiza watakaoenda kumtembelea wasisahau na mapokopoko!!?? inawezekana huyu njaa zilitaka kumrestisha
Aisee kwakweli hata mie ile sauti yake huwa naipenda sanaApone jamani napenda sauti yake akiimba sema ndio mbishi hataree
Ni kweli.mimi mwenyewe nina wasiwasi na discipline aliyonayo chid benz, huu unaweza ukawa mtihani mkubwa sana kwake, kupona sio kutumia methadone tu, bali hata tabia ya mtumiaji inachangia sana kuona/kutopona
inakuwaga bure unalimalima na mambo mengine ya kijamii nadhani hizi ni kwa msaada wa watu wa marekaniHuko sober house kuna ada unalipa au"
Kama bording vile
Msalani tumia hata akili kidogo kufikiri! hilo siyo suala la kivyama! acha roho mbaya na chuki ya kiitikadi ya kivyama, ina maana kina msagasumu wakipata shida wasisaidiwe na mtu wa chama tofauti kisa alikuwa ukawa? hebu tumia akili kidogo kufikiri na kutafakari, vyama vitaondoka binadamu na utu utabakia daima! kama huwezi kumsaidia wewe kaa kimya acha walio na utu wamsaidie, usilete uccm, ucuf na uchadema wako hapa! tunaongeleea namna ya kuyanusuru maisha ya kijana mtanzania aliyepotea.Dawa aache usela mavi tu.
Alivyokuwa anaishabikia CCM, cha kushangaza hata maccm wenzie wamemgeuka!
Wakati akimtukana LOWASSA na kumkashifu kuwa ni mgonjwa, hakujua kuwa kuna siku yake? Mpumbavu tu!Msalani tumia hata akili kidogo kufikiri! hilo siyo suala la kivyama! acha roho mbaya na chuki ya kiitikadi ya kivyama, ina maana kina msagasumu wakipata shida wasisaidiwe na mtu wa chama tofauti kisa alikuwa ukawa? hebu tumia akili kidogo kufikiri na kutafakari, vyama vitaondoka binadamu na utu utabakia daima! kama huwezi kumsaidia wewe kaa kimya acha walio na utu wamsaidie, usilete uccm, ucuf na uchadema wako hapa! tunaongeleea namna ya kuyanusuru maisha ya kijana mtanzania aliyepotea.
Wangemuacha tu afe huyo kenge,kabakia skeletoni wanahangaika nae wa nini,tena kwa starehe zake,aliyataka mwenyewe. Hata hivyo najua haponi.Wakati akimtukana LOWASSA na kumkashifu kuwa ni mgonjwa, hakujua kuwa kuna siku yake? Mpumbavu tu!
Mimi huwa siwaonei huruma watu wajinga wajinga!
CHID BENZ hakuwa mtu wa maana, sioni faida yeyote ya watu kumsaidia. Wimbo alioutoa kipindi cha uchaguzi 2015 ulijaa matusi, ubaguzi, unyanyapaa, etc, na ulikuwa wimbo usio na adabu wala usiopendeza masikio! Leo hii mimi na akili zangu nimuonee huruma mjinga kama huyu? Mkuu naungana na wewe! Wangemuacha afe tu! Ili iwe fundisho kwa wajinga wenye akili kama zake! Hata hivyo hatoboi! Bora Mangwea Mungu alimchukua(MUNGU AMLAZE PEMA, PEPONI)Lakini hakuwahi kutukana mtu yeyote kwa sababu za kisiasa!Wangemuacha tu afe huyo kenge,kabakia skeletoni wanahangaika nae wa nini,tena kwa starehe zake,aliyataka mwenyewe. Hata hivyo najua haponi.