Ni kweli mkuu jamaa alikua na kipaji hasa ,ndio hivyo tena wanasema vizuri havidumu ,acha apumzike kwa amaninilikuwa namuelewa sana lyrical and natural gifted of africa(langa),.kuna lile song la rafiki wa kweli alikuwa amevaa t-shirt iliyoandikwa langa rehabitation centre,mchizi alikuwa na dream ya kumiliki rehab yake,.amefariki hajaonesha hata 5% ya uwezo wake,mchizi alikuwa na kipaji sana,...R.I.P bruv
kafa kwa ujinga wake wa kuendekeza podaNi kweli mkuu jamaa alikua na kipaji hasa ,ndio hivyo tena wanasema vizuri havidumu ,acha apumzike kwa amani
mkuu unahasirahuyo wangempeleka milembe au jela tu mxieee!!
Huu ndo ukweli eti tuwe na huruma kwake,wakati alikuwa anatumia kipaji chake kutukana na kukashifu watu wanaowaita wagonjwa..sasa ni zamu yake.Wakati akimtukana LOWASSA na kumkashifu kuwa ni mgonjwa, hakujua kuwa kuna siku yake? Mpumbavu tu!
Mimi huwa siwaonei huruma watu wajinga wajinga!
Umemaliza yoteWauza unga wa Bongo ni wajanja sana. Ndio wameamua kuizima issue ya Chid Benz kwa mtindo huu wa kumpeleka kwa Babu Tale? Najua kama issue ya uteja wa Chid ingewaathiri sana Rumi na Nassoro coz ndio wao waliofanya awe teja.
Wamekuwa hawataki kabisa issue ya uteja wa Chid itawale kwenye mazungumzo ya Watanzania kwa usalama wao. Kama mnakumbuka kuna wakati 2014 Chid alitawala mitandaoni kama hivi, kwa haraka wakaizima issue.
Fasta ikatangazwa Diamond na AY watamsimamia kimuziki na fasta ukatolewa wimbo wake wa Mpaka Kuchee aliowashirikisha AY na Diamond, na baada ya hapo stori zikawa Chid kurudi kwenye game sio kukongoroka.
Watanzania walipobadilisha hoja, basi na wao wakanyoosha miguu na kuendelea kuponda raha zao na kumuacha Chid akiendelea kujikongoroa mwili wake kwa kuvuta unga kwa kiasi atakacho. Kazi yake ni kuvuta, kulala, kuamka na kuvuta tena.
Imekuwa ndio mtindo, kila Chid akitokeza kwenye jamii juu ya uteja wake anatajiwa Meneja mpya, ashakuwa chini ya Tunda Man na Shetta. Na sasa wametumia njia ile ile, ila wameongeza kwa kumpeleka sober ambako hata TID alipelekwa na aliporudi gari likawaka tena.
Ifike wakati Watanzania tusihamishwe hoja kwa 'peremende' za hawa wauza unga, ambao wakati wote wametokeza kujitia kumsaidia Chid inapotokea uteja wake kujadiliwa na sehemu kubwa ya jamii. Ndio hawa hawa wauza unga waliomsaidia kwenye kesi ya kukamatwa na unga.
Wanampumbaza Chid kwa kumweka kwenye nyumba nzuri ili kujitia wako naye na kumpa uwezo wa kuvuta unga kwa kiasi atakacho. Wameshamtumia vya kutosha hawamtaki tena, wamebaki kumlinda asizungumze na wala asizungumzwe na Watanzania.
Rumi (a.k.a Rashid Jabu) na mshikaji wako Nassoro (Nasabshort) iko siku Chid atawagharimu tu labda mumtoe pumzi kama Ngwair. acheni leo mjione wajanja ila iko siku.
Ova
Kila siku najiuliza, hivi watanzania kwa ujumla tuna nia thabiti ya kuzuia tatizo la unga?Wauza unga wa Bongo ni wajanja sana. Ndio wameamua kuizima issue ya Chid Benz kwa mtindo huu wa kumpeleka kwa Babu Tale? Najua kama issue ya uteja wa Chid ingewaathiri sana Rumi na Nassoro coz ndio wao waliofanya awe teja.
Wamekuwa hawataki kabisa issue ya uteja wa Chid itawale kwenye mazungumzo ya Watanzania kwa usalama wao. Kama mnakumbuka kuna wakati 2014 Chid alitawala mitandaoni kama hivi, kwa haraka wakaizima issue.
Fasta ikatangazwa Diamond na AY watamsimamia kimuziki na fasta ukatolewa wimbo wake wa Mpaka Kuchee aliowashirikisha AY na Diamond, na baada ya hapo stori zikawa Chid kurudi kwenye game sio kukongoroka.
Watanzania walipobadilisha hoja, basi na wao wakanyoosha miguu na kuendelea kuponda raha zao na kumuacha Chid akiendelea kujikongoroa mwili wake kwa kuvuta unga kwa kiasi atakacho. Kazi yake ni kuvuta, kulala, kuamka na kuvuta tena.
Imekuwa ndio mtindo, kila Chid akitokeza kwenye jamii juu ya uteja wake anatajiwa Meneja mpya, ashakuwa chini ya Tunda Man na Shetta. Na sasa wametumia njia ile ile, ila wameongeza kwa kumpeleka sober ambako hata TID alipelekwa na aliporudi gari likawaka tena.
Ifike wakati Watanzania tusihamishwe hoja kwa 'peremende' za hawa wauza unga, ambao wakati wote wametokeza kujitia kumsaidia Chid inapotokea uteja wake kujadiliwa na sehemu kubwa ya jamii. Ndio hawa hawa wauza unga waliomsaidia kwenye kesi ya kukamatwa na unga.
Wanampumbaza Chid kwa kumweka kwenye nyumba nzuri ili kujitia wako naye na kumpa uwezo wa kuvuta unga kwa kiasi atakacho. Wameshamtumia vya kutosha hawamtaki tena, wamebaki kumlinda asizungumze na wala asizungumzwe na Watanzania.
Rumi (a.k.a Rashid Jabu) na mshikaji wako Nassoro (Nasabshort) iko siku Chid atawagharimu tu labda mumtoe pumzi kama Ngwair. acheni leo mjione wajanja ila iko siku.
Ova
bywewe ni ke au me
we ndo ulipona kwa style hii?!hapo wanamharibu inatakiwa tu asipewe madawa, akae hata nyumbani lakini wahakikishe hapati unga, wampe msosi wa nguvu uliotimia, muda wa arosto wamwache ikiwezekana wakae mbali nae maana watamwonea huruma, taratibu ile sumu itatoka ktk damu lakini hivyo hamna kitu
Wauza unga wa Bongo ni wajanja sana. Ndio wameamua kuizima issue ya Chid Benz kwa mtindo huu wa kumpeleka kwa Babu Tale? Najua kama issue ya uteja wa Chid ingewaathiri sana Rumi na Nassoro coz ndio wao waliofanya awe teja.