Chid Benz apelekwa Bagamoyo sober house

Kweli kabisa huyu bogus alimtukana Lowassa matusi yakijinga sana..wacha aipate..akome.. eti Lowassa mgonjwa..mbona yeye amekondeana sasa na kazeeka kuliko mzee kingunge..
na bado mengi yanakuja
Lowasa ni mgonjwa alijinyea stendi ya chato ukitaka ushahidi naleta... Chid alisema ukweli na ukweli utamweka huru ata mumuombee kifo nyie wakawa.
 
Mimi nashangaa ivivita vya madawa ya kulevya vipo kwenye media tu nasi utekelezaji.maana pugu,kinyamwezi (dampo kuu la takataka) dar wanauza wanavuta laivu barabarani bira kificho wakubwa aipiti week wanakuja wanapita kwa shuguri za dampo wanawaona tena vimejengwa vibanda Vingi kama vya mama ntilie bila kificho serekali ipo wapi .nilishawai kumuona kalapina pitia Siku moja kule akajitia supastar .kule ndio jiko I kwa wavuta unga laivu ata chidibenzi anakujaga tulikuwa tunamuona.nimetumbua jipu Leo!
 
Heshima mbele,nadhani ni vizuri kuzidi kumwombea mwenzetu chidi benzi ili Mungu ampe ujasiri na nguvu ya ku overcome chochote ambacho kimekuwa kinamsukuma kutumia madawa ya kulevya.kama ni kwasababu ya stress,hasira,upweke nk basi Mungu amsaidie ku overcome.Wakuu,biashara ya drugs haitakaa iishe kwasababu ndio biashara inayolipa zaidi na inaendeshwa na watu wakubwa sana.wafanya biashara wakubwa na viongozi wakubwa.all over the world..sasa cha kufanya sisi wananchi ni kuendelea kupiga kelele kwenye media,kuelimisha jamii zinazotuzunguka na zaidi watoto wetu kuhusu madhara ya madawa ya kulevya.zaidi kuelimisha watoto wetu kwasababu ndio wako targeted zaidi.ila kufikiria kwamba matumizi ya madawa ya kulevya yatapungua ni ndoto za mchana.hili tatizo ni kubwa sana zaidi ya chidi benzi.kama halijakukuta wewe linaweza kumkuta mwingine yoyote kwenye familia yako.be blessed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…