Homeofservices
Member
- Dec 31, 2017
- 88
- 77
Madawa siyo Mchezo Aisee Serikali isirudi nyuma kuyapiga vita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa mpigaji kapiga sana,kibaya zaidi alikua ananumua ardhi,halafu anazunguka anaiuzia NHC kwa bei ya juu mnoKibaraka wewe, mchechu hajaacha pengo wala NHC, ni mtu mshenzi kabisa huyo shoga yako.
Kazi na malengo ya kuanzishwa NHC ni low cost housing na siyo upuuzi huu aliouleta huyo bwegge wako mchechu kutuletea apartments kwa bei ya millioni 200 mpaka 400.
Huyo ni ng'ombe kabisa.
NHC Ilala Flats hajamilikishwa/ hazijauzwa kwa mpangaji yoyote chiddy kodi ilimshinda kulipa na ilikuwa wakati ule ng'anda imemkolea hajitambui. NHC wakamtoa kwenye nyumba yao.Jamaa mpigaji kapiga sana,kibaya zaidi alikua ananumua ardhi,halafu anazunguka anaiuzia NHC kwa bei ya juu mno