Chid Benz auza nyumba yao iliyokuwa Ilala

Chid Benz auza nyumba yao iliyokuwa Ilala

Kibaraka wewe, mchechu hajaacha pengo wala NHC, ni mtu mshenzi kabisa huyo shoga yako.

Kazi na malengo ya kuanzishwa NHC ni low cost housing na siyo upuuzi huu aliouleta huyo bwegge wako mchechu kutuletea apartments kwa bei ya millioni 200 mpaka 400.

Huyo ni ng'ombe kabisa.
Jamaa mpigaji kapiga sana,kibaya zaidi alikua ananumua ardhi,halafu anazunguka anaiuzia NHC kwa bei ya juu mno
 
Jamaa mpigaji kapiga sana,kibaya zaidi alikua ananumua ardhi,halafu anazunguka anaiuzia NHC kwa bei ya juu mno
NHC Ilala Flats hajamilikishwa/ hazijauzwa kwa mpangaji yoyote chiddy kodi ilimshinda kulipa na ilikuwa wakati ule ng'anda imemkolea hajitambui. NHC wakamtoa kwenye nyumba yao.
 
Back
Top Bottom