Chid Benz auza nyumba yao iliyokuwa Ilala

Chid Benz auza nyumba yao iliyokuwa Ilala

hii sembe ni zaidi ya ugali na uji!
umeua kipaji chake sasa na hata alichovuna unanyan'ganywa bila kujua. wao watoto wao wakila bata bila shida.
 
Nyumba ya NHC imeuzwa na Chidi Benz.. kweli pengo la Mchechu linaonekana
Hakuna cha ajabu hapo, apartments za NHC zinauzwa watu wananunua. Pesa yako tu. Kama chidi alikuwa mmiliki halali anaweza kuiuza.
 
Kibaraka wewe, mchechu hajaacha pengo wala NHC, ni mtu mshenzi kabisa huyo shoga yako.

Kazi na malengo ya kuanzishwa NHC ni low cost housing na siyo upuuzi huu aliouleta huyo bwegge wako mchechu kutuletea apartments kwa bei ya millioni 200 mpaka 400.

Huyo ni ng'ombe kabisa.
Ujamaa ni utahira
 
Ngada noma, kuna wajomba mitaa ya Ukonga baada baba yao kufa walianza kuua biashara zote, wakauza magari na furniture za nyumbani. Walivyomaliza wakaanza kung'oa milango na madilisha ya nyumba na kuuza moja moja. Mwisho wa siku nyumba ikabaki kiwanja wakaweka bondi. Cocaine ni kitu kibaya sana
 
Na ndugu zake wamekubali
kusain kabsa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mwamba ka-lost mazima alafu tatizo bado anajiona Chuma kumbe ashakua kiazi sio muda wahuni watamtafuna.
 
Back
Top Bottom