Chid Benz: Hii Dunia hakuna Mungu

Chid Benz: Hii Dunia hakuna Mungu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Ameyasema hayo akiwa anaongea na Dotto Magari. " Unajua duniani hakuna Mungu. Yale matendo mazuri unayo fanya ndio Mungu n.a. matendo mabaya ndio shetani" alisikika akisema Rashidi Abdallah Makwiro almaarufu Chid Benzi

 
Ameyasema hayo akiwa anaongea na Dotto Magari. " Unajua duniani hakuna Mungu. Yale matendo mazuri unayo fanya ndio Mungu n.a. matendo mabaya ndio shetani" alisikika akisema.
Kapiga cha Arusha bado wenge halijaisha!
 
Ameyasema hayo akiwa anaongea na Dotto Magari. " Unajua duniani hakuna Mungu. Yale matendo mazuri unayo fanya ndio Mungu n.a. matendo mabaya ndio shetani" alisikika akisema.
Uyu nae Unga ushaharibu ubongo sasa lolote akisema ni twende tu😂😂😂
 
Kumuelewa Chidy unatakiwa uwe na akili kubwa, kama akili kisoda kichwa cha panzi utaishia kumuona miyeyusho.
Nakazia. Ur very smart. Chid is genius. Kwanza alicho kisema amenisurprise sana kwamba amejua wapi kwa sababu watu wa imani za siri ndicho wanacho kiamini...

Watu wenye low iq na walio karirishwa ndo wanao mponda mwamba but he is very smart
 
Yeye ni mraibu anaye endelea kupata nafuuu🤪🤪🤪
 
Back
Top Bottom