Chid Benz hii nini? Madawa au?

Nimeona hii picha sehemu

Naona kama hii ya kulia alikua jukwaani ana-perform. Sitegemei awe na Poda au Make up wakati kwa style ya Chid ya kurap kwa kutumia nguvu nyingi lazima atatoka jasho.

Pili ukubwa wa macho yake ndio ulivyo, ndio maana hupenda kuvaa miwani
 
Da! Ameshakua pusha au?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Naona kama hii ya kulia alikua jukwaani ana-perform. Sitegemei awe na Poda au Make up wakati kwa style ya Chid ya kurap kwa kutumia nguvu nyingi lazima atatoka jasho.

Pili ukubwa wa macho yake ndio ulivyo, ndio maana hupenda kuvaa miwani

ukiwa jukwaani sura inakongoroka?
 
ukiwa jukwaani sura inakongoroka?

Pengine hiyo ndio sura yake halisi, sio sura ya photo point. Hiyo Picha imekatwa mno, ingeonekana kwa ukubwa wake ungeona hata taa za jukwaani. Pia nguvu ya kurap pamoja na kurukaruka ndio maana wengine wanapanda na taulo dogo!!
 
hehe..acheni matani..hiyo ni mipoda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…