ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hukunako shidaaaHao ndo watoto wa town !!
kwanini panya road wasiwalaze SAA moja!!
naombeni hapo picha zaohalisi za sas andio ni madawa au!
Sikia kwa wenzionaombeni hapo picha zaohalisi za sas a
naamini neema aiji mara tatu br,sjaman huyo ni mtu mmoja ama????????
Nimeona hii picha sehemu
Naona kama hii ya kulia alikua jukwaani ana-perform. Sitegemei awe na Poda au Make up wakati kwa style ya Chid ya kurap kwa kutumia nguvu nyingi lazima atatoka jasho.
Pili ukubwa wa macho yake ndio ulivyo, ndio maana hupenda kuvaa miwani
ukiwa jukwaani sura inakongoroka?
Pengine hiyo ndio sura yake halisi, sio sura ya photo point. Hiyo Picha imekatwa mno, ingeonekana kwa ukubwa wake ungeona hata taa za jukwaani. Pia nguvu ya kurap pamoja na kurukaruka ndio maana wengine wanapanda na taulo dogo!!