Chid benzi ameshangazwa kwa kitendo Cha Majizo kutaka kumlipa elfu 50 kwenye show ya mziki mnene.Chidi Benz amefunguka hayo Kati ya moja ya interview aliyofanya ameongeza kuwa walitaka kunipa elfu 50 na nakuniambia watanifanyia promo kwenye redio yao mi sitaki promo now natafuta hela promo nishaipata miaka mingi.
Chizbenz amefunguka pia wasanii wengi wanalipwa hela kidogo sometimes hawalipwi hela na media nyingi zaidi ya kupewa promo Cha msingi media ziache hayo mambo bahati mbaya ukikataa offer zao nyimbo zako hawapigi.