Chid Benz: Majizo alitaka kunipa elfu 50 kwenye mziki mnene

Chid Benz: Majizo alitaka kunipa elfu 50 kwenye mziki mnene

Haya matukio ukiona yanaongelewa sana ni lazima kuna ukweli ndani yake baadhi yake ni kama ifuatavyo,

1. Miaka ya nyuma EATV na RADIO FREE waliandaaga show yao Mwanza na Mond akaombwa awe main act, naye akasema bila mil 10 siji... Matokeo yake wakazima mziki kwa airtime

2. Ruby ashawahi sema Clouds walimlipa elfu 10! (dadek us*ng* huu) kwenye moja ya tamasha lao la Fiesta, wakampiga ban

3. Mond alikuwa rafiki mkubwa na kina Mawingu mpaka wakina Majizo na wengine km Times FM wakawa wanasema anawadharau kwa vile akiitwa kwenye interview anagoma... Lilipofika swala la Mmakonde na Fiesta jamaa akawagomea kumtumia huyu Chinga wa Chitoholi bure, wakawapiga ban ya hajaaa!

4. EFM na Mond nasikia kuna mengi nyuma ya pazia ikiwa ni pamoja na Mond kummega kisela hadi kumzalisha Mobeto (mzazi mwenza na bosi), na hili kama la Chid Benz la misimbazi mitano kwa mtu mbaya V_Vanny boy

5. Na sahivi tena Chid kaamua kujilipua kwa kutema checheee! Elfu 50 kweli? Aseee Majizo huu ni ujinga wa kiwango cha SRG...
Vipi Kuhusu Mikataba ya Kinyonyaji ya Rich Mavoko na Harimoniz Pale Wasafi..
 
Basata Ni Wapumbavu Kuliko Upumbavu Wenyewe....
Wasanii Wanalalama Daily Kuhusu Hili Bt Wao Kazi Yao Kufungia Tu
 
Vipi Kuhusu Mikataba ya Kinyonyaji ya Rich Mavoko na Harimoniz Pale Wasafi..
Contract means consent agreement between the parties enforcement by law.Uwezi ukasema wakinyonyaji kwasababu wakati huyo harmonize ana sign alipewa mkataba ausome pamoja na wazazi wake na kwa ridhaa zao wakasign bila kulazimishwa ndo ukamfanya awe msanii mkubwa na mwenye mafanikio tukija kwa rich mavoko wakati ana sign alikuwa na mwanasheria wake pamoja na afisa mtendaji wa BASATA na baadhi ya ndugu zake na wakapata nafasi ya kuusoma na wakakubali mkataba bila kushurutishwa kwa ridhaa yao nakausaini hiyo ni tofauti na mikataba ya media mfano chid Benz ajaridhia kulipwa elfu 50 za show lakini Kama hatasaini nyimbo zake hazitapigwa Huu ndo unaitwa mkataba wa kinyonyaji cos umemtisha muhusika Kama hata pokea offer yenu ngoma zake hampigi so ili ngoma zake mpige ni lazima akubali offer yenu hata Kama si kwa ridhaa yake.Mzee baba usiwe unatetea upuuzi hata Kama una mapenzi na hiyo clouds.
 
Robidinyo Kama ungekuwa ni mfuatiliaji mzuri wa "industry ya muziki" (Hapa tuelewane, sijamaanisha mfuatiliaji wa miziki ile unayopakuwa bure mitandaoni au kuingiza kwenye vile vibanda umiza, namaanisha sekta ya burudani ya muziki kiujumla) usingekuja na hoja dhaifu kiasi hicho...

1. Tukianza na Mavoko, kuna interview ashawahi hojiwa akasema alishindwa kuendana na kasi ya pale usafini ya kutoa ngoma back to back... Kumbuka alivunja mkataba bila hata kurudisha mia ya branding aliyofanyiwa na Wasafi

2. Chinga wa Chitoholi Tanzania ilikuwa haimjui zaidi ya pale alipokuwa akiishi tu. Lakini mara tu alivoshikwa mkono na Baba lao hadi Waitaliano wanamwita shemeji...

Sasa kwa branding kama hiyo unategemea siku ukitaka kutoka unatoka km umetoka chooni? Ni lazima ulipe gharama mzee. Sijawahi sikia mahali mtu akavunja mkataba bila kuulipia (Ukitaka kuelewa zaidi fuatiliaga mpira wa ulaya)

Hata hivo hapa tulikuwa tunaongelea maswala ya show maandazi hizi za buk 10... Atleast Wasafi Chid kasema wanaanzia mil 2
 
Chid benzi ameshangazwa kwa kitendo Cha Majizo kutaka kumlipa elfu 50 kwenye show ya mziki mnene.Chidi Benz amefunguka hayo Kati ya moja ya interview aliyofanya ameongeza kuwa walitaka kunipa elfu 50 na nakuniambia watanifanyia promo kwenye redio yao mi sitaki promo now natafuta hela promo nishaipata miaka mingi.

Chizbenz amefunguka pia wasanii wengi wanalipwa hela kidogo sometimes hawalipwi hela na media nyingi zaidi ya kupewa promo Cha msingi media ziache hayo mambo bahati mbaya ukikataa offer zao nyimbo zako hawapigi.
majizo ni chuma ulete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wcb wanalipa kiasi gani, mfano yule demu amber lulu
 
Duuh! ukute wengine wanapewa hela ya lunch,elfu 5 na wanafanya akitakacho Majizo.Ni siri tu,happy wadada hawajasema kama wanapewa au wanatoa ili wapate promo.
Kwawadada hapo umezungumza nimekuelewa sana sijui wengine....nakumbuka wengine walisubili rip mutahaba ,ndipo wafunguke hahahaaaaa,wanatoa au wanapewa ili pro iendeleee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msukuma wa dar nishamjibu Robidinyo na nyie nataka mnambie nini maana ya mkataba? Na je unasainiwa ukiwa umelewa, kichaa au ukiwa na akili timamu?
Je, kutokana na hao majamaa kuivunja hiyo mikataba ushawahi ona media house za Wasafi zimezuiwa ngoma zao kupigwa? Kwanini iwe kwa kina Mawingu, na E Media pekee wanaolalamikiwa?
Ruby 10,000/= pale mawingu
Chid 50,000/= pale E Media
#vambufu
 
Haya matukio ukiona yanaongelewa sana ni lazima kuna ukweli ndani yake baadhi yake ni kama ifuatavyo,

1. Miaka ya nyuma EATV na RADIO FREE waliandaaga show yao Mwanza na Mond akaombwa awe main act, naye akasema bila mil 10 siji... Matokeo yake wakazima mziki kwa airtime

2. Ruby ashawahi sema Clouds walimlipa elfu 10! (dadek us*ng* huu) kwenye moja ya tamasha lao la Fiesta, wakampiga ban

3. Mond alikuwa rafiki mkubwa na kina Mawingu mpaka wakina Majizo na wengine km Times FM wakawa wanasema anawadharau kwa vile akiitwa kwenye interview anagoma... Lilipofika swala la Mmakonde na Fiesta jamaa akawagomea kumtumia huyu Chinga wa Chitoholi bure, wakawapiga ban ya hajaaa!

4. EFM na Mond nasikia kuna mengi nyuma ya pazia ikiwa ni pamoja na Mond kummega kisela hadi kumzalisha Mobeto (mzazi mwenza na bosi), na hili kama la Chid Benz la misimbazi mitano kwa mtu mbaya V_Vanny boy

5. Na sahivi tena Chid kaamua kujilipua kwa kutema checheee! Elfu 50 kweli? Aseee Majizo huu ni ujinga wa kiwango cha SRG...
Apo kwa ruby na wewe ukaamini? Elf 10? Au ni chumvi na wewe umeongeza ata kama wananyonya si kwa elf 10 yako dada..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazitunayo kweli kazi mnayo si kitoto aseee! Mwenzetu ulisikia Ruby akisema Tsh ngapi? Maana nimetoa kwenye kauli ya mhusika... Ni sawa na chid kusema Majizo alitaka kumpa fifty nayo utabisha.
Hivi una habari kuwa kuna wasanii wengine wanapiga buree kabisa na kuambulia promo? Chunguza kwanza kabla ya kuchangia hoja usikurupuke
 
Kazi ya Basata hapo ni nini katika kutetea maslahi ya wasanii au kazi yake ni kuwafungia na kuwatoza faini wakikosea?!!!
Wasanii wengi hawajitambui, wao ndio wazalishaji wa kazi za sanaa, bila wao haya matamasha hakuna. Wamekosa kuwa na sauti ya pamoja, njaa zinawaongoza zaidi.

Wenye kujitambua wana-survive, mfano ni Diamond, Nash Mc na wengine wengi waliokataa kunyonywa na kuendeshwa na hizi media house.

OK wasanii hawajitambua lakini swali linakuja;
Kazi ya basata ni nini katika kutetea maslahi ya hao wasanii?
 
Wachafu koge kila media adui yenu aiseee
 
Back
Top Bottom