Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
napendaga sana kumsilikiza jamaa anavyopondaga kuhusu hiz mambo ..anaongea huku mwenyewe anachekaaaaaa.Huwa ananichekesha sanaaShida wengi wetu tunamzalau dudubaya wakati jamaa huwa ana point sana kuhusu unyonyaji wa wasanii
Dudubaya anasemaga sana kuhusu unyonyaji wa wasanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi Kuhusu Mikataba ya Kinyonyaji ya Rich Mavoko na Harimoniz Pale Wasafi..
Robidinyo Kama ungekuwa ni mfuatiliaji mzuri wa "industry ya muziki" (Hapa tuelewane, sijamaanisha mfuatiliaji wa miziki ile unayopakuwa bure mitandaoni au kuingiza kwenye vile vibanda umiza, namaanisha sekta ya burudani ya muziki kiujumla) usingekuja na hoja dhaifu kiasi hicho...
1. Tukianza na Mavoko, kuna interview ashawahi hojiwa akasema alishindwa kuendana na kasi ya pale usafini ya kutoa ngoma back to back... Kumbuka alivunja mkataba bila hata kurudisha mia ya branding aliyofanyiwa na Wasafi
2. Chinga wa Chitoholi Tanzania ilikuwa haimjui zaidi ya pale alipokuwa akiishi tu. Lakini mara tu alivoshikwa mkono na Baba lao hadi Waitaliano wanamwita shemeji...
Sasa kwa branding kama hiyo unategemea siku ukitaka kutoka unatoka km umetoka chooni? Ni lazima ulipe gharama mzee. Sijawahi sikia mahali mtu akavunja mkataba bila kuulipia (Ukitaka kuelewa zaidi fuatiliaga mpira wa ulaya)
Hata hivo hapa tulikuwa tunaongelea maswala ya show maandazi hizi za buk 10... Atleast Wasafi Chid kasema wanaanzia mil 2
Contract means consent agreement between the parties enforcement by law.Uwezi ukasema wakinyonyaji kwasababu wakati huyo harmonize ana sign alipewa mkataba ausome pamoja na wazazi wake na kwa ridhaa zao wakasign bila kulazimishwa ndo ukamfanya awe msanii mkubwa na mwenye mafanikio tukija kwa rich mavoko wakati ana sign alikuwa na mwanasheria wake pamoja na afisa mtendaji wa BASATA na baadhi ya ndugu zake na wakapata nafasi ya kuusoma na wakakubali mkataba bila kushurutishwa kwa ridhaa yao nakausaini hiyo ni tofauti na mikataba ya media mfano chid Benz ajaridhia kulipwa elfu 50 za show lakini Kama hatasaini nyimbo zake hazitapigwa Huu ndo unaitwa mkataba wa kinyonyaji cos umemtisha muhusika Kama hata pokea offer yenu ngoma zake hampigi so ili ngoma zake mpige ni lazima akubali offer yenu hata Kama si kwa ridhaa yake.Mzee baba usiwe unatetea upuuzi hata Kama una mapenzi na hiyo clouds.
U team umewakaaa hawachambui mamboContract means consent agreement between the parties enforcement by law.Uwezi ukasema wakinyonyaji kwasababu wakati huyo harmonize ana sign alipewa mkataba ausome pamoja na wazazi wake na kwa ridhaa zao wakasign bila kulazimishwa ndo ukamfanya awe msanii mkubwa na mwenye mafanikio tukija kwa rich mavoko wakati ana sign alikuwa na mwanasheria wake pamoja na afisa mtendaji wa BASATA na baadhi ya ndugu zake na wakapata nafasi ya kuusoma na wakakubali mkataba bila kushurutishwa kwa ridhaa yao nakausaini hiyo ni tofauti na mikataba ya media mfano chid Benz ajaridhia kulipwa elfu 50 za show lakini Kama hatasaini nyimbo zake hazitapigwa Huu ndo unaitwa mkataba wa kinyonyaji cos umemtisha muhusika Kama hata pokea offer yenu ngoma zake hampigi so ili ngoma zake mpige ni lazima akubali offer yenu hata Kama si kwa ridhaa yake.Mzee baba usiwe unatetea upuuzi hata Kama una mapenzi na hiyo clouds.
Fact boyRobidinyo Kama ungekuwa ni mfuatiliaji mzuri wa "industry ya muziki" (Hapa tuelewane, sijamaanisha mfuatiliaji wa miziki ile unayopakuwa bure mitandaoni au kuingiza kwenye vile vibanda umiza, namaanisha sekta ya burudani ya muziki kiujumla) usingekuja na hoja dhaifu kiasi hicho...
1. Tukianza na Mavoko, kuna interview ashawahi hojiwa akasema alishindwa kuendana na kasi ya pale usafini ya kutoa ngoma back to back... Kumbuka alivunja mkataba bila hata kurudisha mia ya branding aliyofanyiwa na Wasafi
2. Chinga wa Chitoholi Tanzania ilikuwa haimjui zaidi ya pale alipokuwa akiishi tu. Lakini mara tu alivoshikwa mkono na Baba lao hadi Waitaliano wanamwita shemeji...
Sasa kwa branding kama hiyo unategemea siku ukitaka kutoka unatoka km umetoka chooni? Ni lazima ulipe gharama mzee. Sijawahi sikia mahali mtu akavunja mkataba bila kuulipia (Ukitaka kuelewa zaidi fuatiliaga mpira wa ulaya)
Hata hivo hapa tulikuwa tunaongelea maswala ya show maandazi hizi za buk 10... Atleast Wasafi Chid kasema wanaanzia mil 2
Of course mzeeBado kuna watu wanamlaumu diamond kwa maisha haya ya sasa ? Mastaa wengi wana majina lakini hawana kitu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
problem ni mtoa mada hajaweka video clip kuonyesha kitu alichoongea chidi ndio maana umekuja kufanya assumption. kasema kafanya fiesta kalipwa over one million per show, na kafanya wasafi wamemlipa vizuri sana, sasa efm wanampigia simu wana elf 50.Clouds na Efm ni wanyonyaji wakubwa.....Wamefeli kumnyonya DOMO ndio maana hawapigi nyimbo zake
WCB ni record label clouds fm ni kituo cha radio
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu sidhani kama wengi wanaochangia humu wameisikiliza hiyo interview...problem ni mtoa mada hajaweka video clip kuonyesha kitu alichoongea chidi ndio maana umekuja kufanya assumption. kasema kafanya fiesta kalipwa over one million per show, na kafanya wasafi wamemlipa vizuri sana, sasa efm wanampigia simu wana elf 50.
Wala kaya mara nyingi ni wa kweli.chid is a serious genious namkubali sana uyu jamaa yuko real hapendi unafiki unafiki wa kindezi
Sent using Jamii Forums mobile app
FactContract means consent agreement between the parties enforcement by law.Uwezi ukasema wakinyonyaji kwasababu wakati huyo harmonize ana sign alipewa mkataba ausome pamoja na wazazi wake na kwa ridhaa zao wakasign bila kulazimishwa ndo ukamfanya awe msanii mkubwa na mwenye mafanikio tukija kwa rich mavoko wakati ana sign alikuwa na mwanasheria wake pamoja na afisa mtendaji wa BASATA na baadhi ya ndugu zake na wakapata nafasi ya kuusoma na wakakubali mkataba bila kushurutishwa kwa ridhaa yao nakausaini hiyo ni tofauti na mikataba ya media mfano chid Benz ajaridhia kulipwa elfu 50 za show lakini Kama hatasaini nyimbo zake hazitapigwa Huu ndo unaitwa mkataba wa kinyonyaji cos umemtisha muhusika Kama hata pokea offer yenu ngoma zake hampigi so ili ngoma zake mpige ni lazima akubali offer yenu hata Kama si kwa ridhaa yake.Mzee baba usiwe unatetea upuuzi hata Kama una mapenzi na hiyo clouds.