Chid Benz: Majizo alitaka kunipa elfu 50 kwenye mziki mnene

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Chid benzi ameshangazwa kwa kitendo Cha Majizo kutaka kumlipa elfu 50 kwenye show ya mziki mnene.Chidi Benz amefunguka hayo Kati ya moja ya interview aliyofanya ameongeza kuwa walitaka kunipa elfu 50 na nakuniambia watanifanyia promo kwenye redio yao mi sitaki promo now natafuta hela promo nishaipata miaka mingi.

Chizbenz amefunguka pia wasanii wengi wanalipwa hela kidogo sometimes hawalipwi hela na media nyingi zaidi ya kupewa promo Cha msingi media ziache hayo mambo bahati mbaya ukikataa offer zao nyimbo zako hawapigi.
 
Duuh! ukute wengine wanapewa hela ya lunch,elfu 5 na wanafanya akitakacho Majizo.Ni siri tu,happy wadada hawajasema kama wanapewa au wanatoa ili wapate promo.
 
Clouds na Efm ni wanyonyaji wakubwa.....Wamefeli kumnyonya DOMO ndio maana hawapigi nyimbo zake
Bongo kunamatatizo sana hasa hizi media zetu imagine chid kajitoa mwanga unaweza kukuta Kuna wengine hawalipwi hata senti moja na wanashindwa kukataa cos wakikataa ngoma zao hazilii yaani tunarudi kwenye kipindi Cha ukoloni na utumwa.
 
Inawezekana Chid akawa ba points na kabutua kombolela ila kutokana na matumizi ya midaharati ya hivi karibuni watamchukulia poa na mzushi.


Kudos Chid benzino, chid benz
 
Haya matukio ukiona yanaongelewa sana ni lazima kuna ukweli ndani yake baadhi yake ni kama ifuatavyo,

1. Miaka ya nyuma EATV na RADIO FREE waliandaaga show yao Mwanza na Mond akaombwa awe main act, naye akasema bila mil 10 siji... Matokeo yake wakazima mziki kwa airtime

2. Ruby ashawahi sema Clouds walimlipa elfu 10! (dadek us*ng* huu) kwenye moja ya tamasha lao la Fiesta, wakampiga ban

3. Mond alikuwa rafiki mkubwa na kina Mawingu mpaka wakina Majizo na wengine km Times FM wakawa wanasema anawadharau kwa vile akiitwa kwenye interview anagoma... Lilipofika swala la Mmakonde na Fiesta jamaa akawagomea kumtumia huyu Chinga wa Chitoholi bure, wakawapiga ban ya hajaaa!

4. EFM na Mond nasikia kuna mengi nyuma ya pazia ikiwa ni pamoja na Mond kummega kisela hadi kumzalisha Mobeto (mzazi mwenza na bosi), na hili kama la Chid Benz la misimbazi mitano kwa mtu mbaya V_Vanny boy

5. Na sahivi tena Chid kaamua kujilipua kwa kutema checheee! Elfu 50 kweli? Aseee Majizo huu ni ujinga wa kiwango cha SRG...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…