Haya matukio ukiona yanaongelewa sana ni lazima kuna ukweli ndani yake baadhi yake ni kama ifuatavyo,
1. Miaka ya nyuma EATV na RADIO FREE waliandaaga show yao Mwanza na Mond akaombwa awe main act, naye akasema bila mil 10 siji... Matokeo yake wakazima mziki kwa airtime
2. Ruby ashawahi sema Clouds walimlipa elfu 10! (dadek us*ng* huu) kwenye moja ya tamasha lao la Fiesta, wakampiga ban
3. Mond alikuwa rafiki mkubwa na kina Mawingu mpaka wakina Majizo na wengine km Times FM wakawa wanasema anawadharau kwa vile akiitwa kwenye interview anagoma... Lilipofika swala la Mmakonde na Fiesta jamaa akawagomea kumtumia huyu Chinga wa Chitoholi bure, wakawapiga ban ya hajaaa!
4. EFM na Mond nasikia kuna mengi nyuma ya pazia ikiwa ni pamoja na Mond kummega kisela hadi kumzalisha Mobeto (mzazi mwenza na bosi), na hili kama la Chid Benz la misimbazi mitano kwa mtu mbaya V_Vanny boy
5. Na sahivi tena Chid kaamua kujilipua kwa kutema checheee! Elfu 50 kweli? Aseee Majizo huu ni ujinga wa kiwango cha SRG...