Chid Benz: Sikuwa nahisi chochote, nilikuwa nina sumu mwilini

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Makwiro maarufu Chid Benz amesema, "Kuishi kwangu ilikuwa huwezi kuamka asubuhi uniambie nije Clouds. Nilikuwa siwezi kwa sababu nilikuwa nina sumu mwilini"

1756914604297.png

NImekumbuka mdau mmoja kasema watangazaji wa TZ wanaweza sana kufanya interview na wasanii kuliko wanasiasa, hata Kikeke alishindwa kumhoji vizuri Mh. Rais.
 
Back
Top Bottom