Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,382
Atuondokee hapa, watu tunataka kuikomboa nchi yetu yeye anakuja na mambo aliyojitakia mwenyewe, hatuna huruma naye, akıtaka arudie tu kuyabugia.Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Makwiro maarufu Chid Benz amesema, "Kuishi kwangu ilikuwa huwezi kuamka asubuhi uniambie nije Clouds. Nilikuwa siwezi kwa sababu nilikuwa nina sumu mwilini"