Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
NImekumbuka mdau mmoja kasema watangazaji wa TZ wanaweza sana kufanya interview na wasanii kuliko wanasiasa, hata Kikeke alishindwa kumhoji vizuri Mh. Rais.Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Makwiro maarufu Chid Benz amesema, "Kuishi kwangu ilikuwa huwezi kuamka asubuhi uniambie nije Clouds. Nilikuwa siwezi kwa sababu nilikuwa nina sumu mwilini"
Huwezi ukatumia kitu miaka, ambacho kinatengeneza sumu, halafu kikuache hivihivi.Nimemcheki asbh km bado hajapona, anachokisema anakirudia mara kwa mara.
Ulevi uliopitiliza huwa unasababisha kupoteza kumbukumbu,kwahiyo hilo nalo ni tatizo jingine...Nimemcheki asbh km bado hajapona, anachokisema anakirudia mara kwa mara.