Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,382
Atuondokee hapa, watu tunataka kuikomboa nchi yetu yeye anakuja na mambo aliyojitakia mwenyewe, hatuna huruma naye, akıtaka arudie tu kuyabugia.Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Makwiro maarufu Chid Benz amesema, "Kuishi kwangu ilikuwa huwezi kuamka asubuhi uniambie nije Clouds. Nilikuwa siwezi kwa sababu nilikuwa nina sumu mwilini"
Atuondokee hapa, watu tunataka kuikomboa nchi yetu yeye anakuja na mambo aliyojitakia mwenyewe, hatuna huruma naye, akıtaka arudie tu kuyabugia.
Abdul bwana, sawa tu.....kumbuka cheo ni dhamana.Nchi gani, Palestine?
Chidi sikiliza, ujinga huu ulijitakia mwenyewe.....ebu tuondokee hapa.Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Makwiro maarufu Chid Benz amesema, "Kuishi kwangu ilikuwa huwezi kuamka asubuhi uniambie nije Clouds. Nilikuwa siwezi kwa sababu nilikuwa nina sumu mwilini"
Abdul bwana, sawa tu.....kumbuka cheo ni dhamana.