Chid Benz: Tupac yupo Cuba na tunawasiliana naye!

Bange+Cocaina!

Sober house ishadunda ka' mkorogo kwa maji ya chumvi
 
Huyo amepotea, Ali Kiba na Duly Sykes wote walikuwa kundi moja.
 
Nimeona Interview yake kwenye matangazo ya E-News EATV anasema Tupac yupo hai nchini Cuba na tunawasiliana naye na kipini alichovaa puani ni cha kwake. Na anafanya mpango amlete Tanzania.

Huyu jamaa karibu anakuwa 'chizi fresh'.
Mkuu! umeanza Ku enjoy Jf as a member? mm ndio yule niliekushawishi fb! haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…