Chid Benz: Tupac yupo Cuba na tunawasiliana naye!

Chid Benz: Tupac yupo Cuba na tunawasiliana naye!

Ahahahahahaaaaaaaa aliyemfundisha madawa huyu kijana alaaniwe
 
Aliyepo Cuba ni Asatta Shakur ambaye ni shangaz yake The late 2pac Ally Omar Shakur...,na alienda Cuba na kupewa hifadhi na Fidel Castro baada ya kutokea migogoro ya kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama umewahi kuvuta bangi huwezi kushangaa anachokisema CHid Benz. Bangi ni mbaya jamani.
Nakupinga bhagi tumevuta sana tu, lakini sio hali hii ya chidi, sema watu ambao hamjavuta bhangi mnadanganywa sana.tena mi nilikuwa navuta yakuotesha nakuvundika/ kukausha mwenyewe haijachanganywa na sigara nyota kama mnazo uziwa mjini, lkn haikunichengua wala hakuna mtu aliyejua kama natumia, siri hii naitoa hapa jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bangi ipi hiyo? Wewe kichwa chako kama hakiwezi bangi usipende kufanya ndio kila mtu mkuu
Mwambie huyo,mmea na uheshimiwe.
0ef8866ba01cf194da85ce31f5f72f02.jpg
 
Dish lishayumba huyo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Back
Top Bottom