Oh oo oo!!!Kama amesha anza kuwasiliana na wafu basi hana muda wataonana!
Umeniongezea siku ya kuishi nimecheka sana na Maneno yakoKiki hyo badala ya kifanya mziki mzuri kama zamani anabakia kuongea upupu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupinga bhagi tumevuta sana tu, lakini sio hali hii ya chidi, sema watu ambao hamjavuta bhangi mnadanganywa sana.tena mi nilikuwa navuta yakuotesha nakuvundika/ kukausha mwenyewe haijachanganywa na sigara nyota kama mnazo uziwa mjini, lkn haikunichengua wala hakuna mtu aliyejua kama natumia, siri hii naitoa hapa jf.kama umewahi kuvuta bangi huwezi kushangaa anachokisema CHid Benz. Bangi ni mbaya jamani.
Mwambie huyo,mmea na uheshimiwe.Bangi ipi hiyo? Wewe kichwa chako kama hakiwezi bangi usipende kufanya ndio kila mtu mkuu
Sijui wazazi wake wapo kwenye hali gani?Chizi