Hiyo siyo bangi Wiz Khalifa angeshakuwa anadondosha udendaBangi haijawahi kumuacha mtu salama
Siyo cocaine mkuu ni heroine,Hana hela ya cocaine huyo kapuku.cocaine si nzuri kwa afya
Siyo bangi mkuu ni unga au heroine,kama ni bangi labda awe kachanganya na mavi ya punda.Bangi haijawahi kumuacha mtu salama
unao ushuhuda au unapayuka tu mkuu?kama umewahi kuvuta bangi huwezi kushangaa anachokisema CHid Benz. Bangi ni mbaya jamani.
Huyu na teja mwenzie TID hawawezi kuwa ndani kwa kuwa mwenye mkoa wake anawahitaji kujijenga, somehow.Hivi yuko uraiani? Huyu ilifaa awe jela sahivi
OhoooooKama amesha anza kuwasiliana na wafu basi hana muda wataonana!
Sio kiki ndo akili yake inavyo mtuma.muonee huruma.Kiki hyo badala ya kifanya mziki mzuri kama zamani anabakia kuongea upupu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aende jela akatatuliwe linda hata 1 akirudi mtaani akili itamkaa freshSio jela alifaa kuwa milembe sasahivi.