Chid Benz: Tupac yupo Cuba na tunawasiliana naye!

Chid Benz: Tupac yupo Cuba na tunawasiliana naye!
"Maneno yanayoongelewa kwamba 2Pac amefariki siyo kweli, Kila siku ninaongea na 2pac na hata sasa hivi nimetoka kuongea naye"
Mimi na 2Pac tumekutana Cuba, na tumefanya nyimbo ya pamoja na Mungu akisaidia hivi karibuni tataachia nyimbo hiyo".
"2Pac ana mpango wa kurudi kwenye muziki, na wimbo wetu tuliorekodi ndiyo utamrudisha. Na hivi karibuni 2Pac atakuja bongo, ila atakuja kimya kimya kama alivyokuja Beckam" Aliongeza Chidi Benz akiiambia EATV........
Hahahahaha Ninachoshangaa mpaka sasa Chid hajatiwa kamba miguuni na mikononi...sijui wanataka aue mtu kwa kisu kwanza!!!!
 
Mara nyingi najiuliza una uzuri wa namna gani nashindwa pata jibuu.

Ukiwepo we ndo wakuniponya nafsi yangu napopata majibu.

Pole sana Chid benz maisha uliyachagua yamekuharibu sana.
 
Mara nyingi najiuliza una uzuri wa namna gani nashindwa pata jibuu.

Ukiwepo we ndo wakuniponya nafsi yangu napopata majibu.

Pole sana Chid benz maisha uliyachagua yamekuharibu sana.
Nlishawahi kukaa na washkaji ambao nii mateja, jamaa anakuambia stimu yake ni zaidi ya ile raha unayoipata mwanaume unapokojoa bao aka goli aka kupizi, sasa ile stimu inadumu for almost lisaa lizima!! pata picha.
 
Stimu ya unga ni Mara nne ya ile ya kupiz

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
duh jamaa kawajaza mmejazwa kweli! kuna msanii anajifananisha na 2pac jina lake nmelisahau ila alishawahi kushirikiana na nandy. so huyo jamaa ndo kafanya ngoma na chidi benz watakayoi-release pamoja siku waliyokubaliana.
 
Ndio maana hata sigara sivuti



invest what you are willing to lose
 
Benz anena.
 

Attachments

  • chokadj_1593393857272645939_340095459.jpg
    117.8 KB · Views: 31
Ndio maana sitaki kuvuta hata sio, ona sasa ndugu yetu alivyochizi kwa madawa
 
Kama amefikia kushindwa kutofautisha ndoto na uhalisia....ni dhahiri anahitaji msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…