Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlishawahi kukaa na washkaji ambao nii mateja, jamaa anakuambia stimu yake ni zaidi ya ile raha unayoipata mwanaume unapokojoa bao aka goli aka kupizi, sasa ile stimu inadumu for almost lisaa lizima!! pata picha.Mara nyingi najiuliza una uzuri wa namna gani nashindwa pata jibuu.
Ukiwepo we ndo wakuniponya nafsi yangu napopata majibu.
Pole sana Chid benz maisha uliyachagua yamekuharibu sana.
Hasa awamu hii mi mwenyewe nalima matikiti na mbaazi moroHaita saidia sana, watumie wataalamu wa Ku deal na hizo issue tatizo bongo doctor anagraduate anaenda kulima ndizi shinyanga[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app

cocaine si nzuri kwa afya