Acha uogaDah Madawa yanipitie Mbali!!
Ubaya wake ukichenguka hujui kama imekuchanganya watakaokujua ni jamaa zako. kwa mfano Chd benz ukimwambia unachofanya sio hakuelewi atakuona wewe ndio mwenye matatizo. Mkuu wewe umechenguka na bange ila hujielewi yaani hata comment yako imekaa kibangebangeNakupinga bhagi tumevuta sana tu, lakini sio hali hii ya chidi, sema watu ambao hamjavuta bhangi mnadanganywa sana.tena mi nilikuwa navuta yakuotesha nakuvundika/ kukausha mwenyewe haijachanganywa na sigara nyota kama mnazo uziwa mjini, lkn haikunichengua wala hakuna mtu aliyejua kama natumia, siri hii naitoa hapa jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
MadeeNdio maana hata sigara sivuti
invest what you are willing to lose
Unaweza kutamanisha Vijana!!Nlishawahi kukaa na washkaji ambao nii mateja, jamaa anakuambia stimu yake ni zaidi ya ile raha unayoipata mwanaume unapokojoa bao aka goli aka kupizi, sasa ile stimu inadumu for almost lisaa lizima!! pata picha.