Chid Benz: Tupac yupo Cuba na tunawasiliana naye!

Chid Benz: Tupac yupo Cuba na tunawasiliana naye!

Chuma hajadata sema mnawah kujudge jamaa anataka toka na animation video 2pac ndan ttz mnachelwa kumuelewa La Familiaaaaaaaaaaa!!!!!!
 
Huyu jamaa ni wa kumuombea tu mana alipofikia inasikitisha sana
 
Daah Chid kipaji maridhawa hicho...yani sijui itakuwaje...so sad.
 
Kijana rashid maarufu kama chid Benz inaonekana akili imeshachanganya,
Katika mahojiano Na eatv anasema amefanya mziki mpya Na 2pac shakuru, wakati jamaa kafariki miaka 21 ilopita, Na kasema kamuachia Ngoma yake mpya ,

Kwa akili ya kawaida hasa hata eatv hawakupaswa kutoa video hii Ni kumshushia hadhi, wangekausha TU

 
Mwenye akili timamu utaona eatv nao haziwatosh chid Bado hayupo vzr, ukimsikiliza Anasema ameenda Cuba, at the same time Anasema ameongea na Tupac Kwa simu,kiufup hii hbr haikupaswa kurushwa ni Kama kumuaibisha chid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakupinga bhagi tumevuta sana tu, lakini sio hali hii ya chidi, sema watu ambao hamjavuta bhangi mnadanganywa sana.tena mi nilikuwa navuta yakuotesha nakuvundika/ kukausha mwenyewe haijachanganywa na sigara nyota kama mnazo uziwa mjini, lkn haikunichengua wala hakuna mtu aliyejua kama natumia, siri hii naitoa hapa jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya wake ukichenguka hujui kama imekuchanganya watakaokujua ni jamaa zako. kwa mfano Chd benz ukimwambia unachofanya sio hakuelewi atakuona wewe ndio mwenye matatizo. Mkuu wewe umechenguka na bange ila hujielewi yaani hata comment yako imekaa kibangebange
 
c09e8d2c9268225dafee937494ce90eb.jpg



Mnabisha nini sasa
 
Back
Top Bottom