kotelyimola
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 1,459
- 1,506
Kama unamtaka yupo karibu na Changamoto ni Matumaini (ile kambi ambayo inasaidia watu ambao ni addicted) karibu na dodo dogo (kumbuka haisaidii addiction kama yako warumi maana wao ni wazungu waliookokabunju si kwa mama yake? jamani rehema nyie huyu, si bora angeomba collabo na jide waamke tena looh! nikikumbuka enzi zake machozi yananitoka aiseh
ahhaha unankumbusha mbali binamu, hivi rehema bado yupo au kahama??
Alibondwa na Jamaa mmoja mwili jumba wa kikosi cha mizinga naona alivamia shoo ya wagumu hao wa Hip hop,hawakumwonea huruma.Huyo chidi hajawahi kupigwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ugomvi wa mateja huo msuluhishi pusher.