Chidi Benz ampiga Ray C

Chidi Benz ampiga Ray C

Hiv wasanii wa bongo kwann wengi wanaishia kwny unga?
Yaan najiuliza jibu sipati
 
Rehema yuko poa kidogo ila bidada mwingine mkong'oto ulikua wa haja hadi kutembea ilikua shida.

Ilikuwa lini hiyo? washikaji wa pale kwa Nova hawakuwepo? kama wangekuwepo Chid Benz asingetoka mzima
 
Ilikuwa lini hiyo? washikaji wa pale kwa Nova hawakuwepo? kama wangekuwepo Chid Benz asingetoka mzima

alhamis ile siku Netherland wanacheza na Argentina...
nasikia jamaa alikimbia mbaya baada ya Rehema kupiga kelele. hawakuwepo wale halafu ilikua nite sana.
 
alhamis ile siku Netherland wanacheza na Argentina...
nasikia jamaa alikimbia mbaya baada ya Rehema kupiga kelele. hawakuwepo wale halafu ilikua nite sana.

I say ni nouma, siku hiyo nilikuwepo mitaa hiyo ila niliondoka mapema sana. Changanyikeni kuna vituo hadi raha!
 
Hiyo ndo changanyikeni bana, siku hizi celebrities wa mjini wengi wanaishi huko
keep pushing hapo juu juu ili waje kuwa tenants wangu. Niliwalipa kiingilio wkt wanahit tena kwa hela ya boom wao wakaenda kuvutia unga sasa nasubiri kodi zao ili niongeze apartments. Anyway nampa pole Ray c na mama chid. Yani haka ka rayc nilivyokuwaga nakapenda, mara pu unga mara kamepona im hapy 4 her, akikomaa itakuwa leson kwa wengine na yeye haitamlazimu kuimba ili apate pesa. Al the best kiuno bila mfupa
 
Back
Top Bottom