Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

Babu tale roho mbaya. Hata Ray vanny alikuwa anambania hadi diamond akamtoa mwenyewe. Kingine tiptop kaikacha kutwa kucha kumganda domo
Kwani Tale ndiye aliyemvutisha unga??

Mshaanza kumlaumu Tale wa watu binaadamu bwana
 
Bora kunywa kiroba.
cocaine na heroine tuwaache chidi benz ma ray c
 
Madawa ya kulevya ni sawa na kula nyama ya mtu! Huwez acha!
 
Hapa tuandike tu lakini ukimuona Chidi benzi utamuonea Huruma anazunguka kwenye ma Bar usiku hasa kinondoni maeneo ya Masai Club na papichulo anaomba kuimba angalau mkono uend kinywani. Binfsi nilimuona Chozi likanidondoka
Ukiweza kumpiga picha utuletee tuone alivyo
 
Kwa hiyo na "wachawi" wamemkataa pia?
 
namaanisha na wewe walikuingiza mkumbo ukaanza kubwia unga???
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Asee mi sko huko wala sja wahi, hiyo ya Maslow nimeikumbukia kwenye masomo tuu
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Asee mi sko huko wala sja wahi, hiyo ya Maslow nimeikumbukia kwenye masomo tuu

nakumbuka kipindi nipo chuo hyo thery ya motivation ilikuwa inavutia anyway cheers
 
Huyu jamaa jeuri sana na kujifanya much know
Kwa style hii amekwisha totally kesha kuwa Trolley
 
Nakumbuka aliulizwa siku moja akasema kitu kama hiki
"Kwani shida nini, mashabiki wangu mziki mzuri wanapata kama kawaida bila kujali kama natumia au situmii, cha msingi wanachotaka ni burudani na ninawapa hayo mengine sio ya msingi"

Dah...huyu jamaa alikua ni mmoja katinya wakali wa hiphop ya bongo...nasikitika sana yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…