Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

Uzi kama huu sisomagi kwani unahuzunisha sana,ukizingatia kma ushapata ndugu wa bhangi au madawa,aisee acheni tu
Kuna chalii yangu tulikuwa best o level ila bahati mby form4 hakumaliza sabb ya matatizo ya kifamilia

Dah Mungu amlaze mahali pema

Unga mbaya sana
 
Tatizo umeshakariri kuwa mtumiaji wa madawa ya kulevya lazima awe na hali mbaya then mchafu mchafu, ndio maana nikasema wanatumia unga mchafu.

Wapo wanaotumia madawa ya kulevya hapa hapa bongo but their still smart na wana pesa.
Huwezi kutumia unga gredi " A " kama huna pesa.

[emoji12] [emoji95] [emoji379]
kuna mbongo gani anayetumia madawa ya kulevya ana ela za kumkalibia tuu Whitney Houston au Bobby Brown?je hayo madawa grade A unajua yalichowafanya kina Whitney?hakuna kitu haramu kikawa na +ve impact brother,,ukiona kitu chochote kinapingwa vikali mpaka na Mmarekani basi kaa nacho mbali
 
kuna mbongo gani anayetumia madawa ya kulevya ana ela za kumkalibia tuu Whitney Houston au Bobby Brown?je hayo madawa grade A unajua yalichowafanya kina Whitney?hakuna kitu haramu kikawa na +ve impact brother,,ukiona kitu chochote kinapingwa vikali mpaka na Mmarekani basi kaa nacho mbali
Basi sawa.

[emoji12] [emoji95] [emoji379]

Drug dealer....
 
Babu tale pia alikuwa anataka kuonekana tu kwenye media, hata kipindi kile chidi benz yupo hospitali hakumjali tena, sijui kaona gharama nyingi kamtoa sobber kabla ya muda.
 
Ndio maana yule Rais wa Phillipines anaua yeyote anaye jihusisha na ngada, kule wenzetu sober house ni mochwari, madawa ya kulevya yana maliza sana vijana kwa kweli nina hasira sana hapa nilipo
Huku kwetu wapo wala serikali haina time nao...

Afu wakuu wa nchi ndo kwanza suppliers wa unga...!

Ni kuomba tuu yasumkute nduguyo! Hii kitu hatari sana[emoji41] [emoji41]
 
mkuu usilipe excuse sana gonjwa la ukimwi
wapo wanaopata kwa uzembeau ukosefu wa maarifa tu!
pia
wapo wanaopata kwa bahati mbaya

kuhusu madawa ya kulevya mkuu..
wapo ambao ni ushawishi wa watu wake wa karibu anaowaamini ambao uliushinda uwezo wa fikra zake

Pia wapo walioanza madawa ya kulevya kwa nguvu ya penzi
hapa.. ni yale mambo ya kimapenzi .. mmoja anaetumia madawa ya kulevya anapomshawishi mwenzake..

sababu zipo nyingi mkuu..maana watu tunahulka ya ku-Imitate mambo kutoka kwa watu tunaowapenda..

Ila sio kwamba madhara hayafahamiki..
Umeongea vizuri sana mkuu, tupe way forward sasa.
 
It was expected.

Siyo rahisi kiasi hicho,ngada siyo "superdip" wala juice cola kwamba ukijisikia kuacha unaacha kizembe hivyo.
 
Hii issue hawa jamaa walikuwa wanatafuta kick Chidi Benz alipaswa kukaa sober house si chini ya miezi 6, kuacha madawa ya kulevya sio kazi rahisi
Sidhani kama walikuwa wanatafuta kiki walikuwa na nia ya kumsaidia kbs ila chid kibaji hakuwa tayar kusaidiwa
 
Sidhani kama walikuwa kiki walikuwa na nia ya kumsaidia kbs ila chid kibaji hakuwa tayar kusaidiwa
Kumpeleka mtu sober ni sawa na kumpeleka jela so,ilipaswa kila wiki wawe wanaenda kumjulia hali na kumtia moyo awe mvumilivu ili apone kabisa.Hata alivyotoka walipaswa wawe wanamfuatilia nyendo zake na sio kumtelekeza

Kama alikubali kwenda hawakupaswa kukubali kumuachia aondoke hata miezi 2 hakufikisha
 
inasikitisha sana...kwa sasa hamtonielewa lkn atakapokata mafuta naamini mtanielewa....inasikitisha kwa kweli.
 
Huku kwetu wapo wala serikali haina time nao...

Afu wakuu wa nchi ndo kwanza suppliers wa unga...!

Ni kuomba tuu yasumkute nduguyo! Hii kitu hatari sana[emoji41] [emoji41]
Chid Benz ataacha vipi wakati kunalundo la Madawa ya kulevya Mitaani!

Serikali ifanye kazi ya ziada ya kudhibiti haya madubwasha,Na inawafahamu vizuri hao wasambaza Unga!
Naunga mkono kwa asilimia nyingi anachokifanya Durtete huko Ufulipino!

Taifa la kesho linaangamia kwa upuuzi huu wa Madawa ya kulevya.
 
Back
Top Bottom