Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
ole wao wageuzao usiku kua mchana......[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Yaan skulala nilikuwa hapa hapa nakodoa kodo[emoji102] huku na subiri kutulizwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ole wao wageuzao usiku kua mchana......[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Yaan skulala nilikuwa hapa hapa nakodoa kodo[emoji102] huku na subiri kutulizwa
[emoji23]ole wao wageuzao usiku kua mchana......
[emoji28][emoji28]...[emoji23]
Ule usemi wa 'silali nakuwaza' leo nime u experience.
Ulivo nifanyia sio kabsa.
Halafu uzuri mimi huwa sipigi watoto wa kike ngumi[emoji28][emoji28]...
Ukali kwenye Drugs hamna labda mambo mengineHivi pamoja na ukali wa hii awamu,hayo madawa bado yanapatikana?
tabia mbaya....usinikumbushe kile kibao....me napenda kupigwa na pesa[emoji276] sio mkono mtupu.....Halafu uzuri mimi huwa sipigi watoto wa kike ngumi
Nawapiga ki namna
[emoji125]
Mfalme utakuta ni kiongoz wa chama na Serikal Sheria hapo huwa inakuwa sio msemeno tenaHivi kabla chidi hajaanza kula unga, hakukuwa na mateja ambao tayari walishaathirika na unga kweli?
Hivi chidi hakuwaona?
Aliwaonea huruma au alitamani kuwa kama wao?
Je tunajua hata yule teja tunaemuona karaha pale stendi ya mabasi nae alikuwa smart, na afya tele tena zaidi ya chidi?
Hivi tukimbana na kumuuliza chidi alipoutoa unga, mpaka tukampata mfalme wao anaeuingiza nchini hatuwezi kufanikiwa kuutokomeza?
UKIMWI hauna agent, akupae unaweza usimtambue, acha tuendelewe kugawa ARV, lakini hata unga kweli akupae humjui?
Kuna yule aliyesaidiwa na rais, hivi kweli mheshimiwa angeshindwa kumuuliza yule binti akampa channel nzima, nao wakabanwa tukautokomeza huo mtandao?
Kwakweli hapana, hatujashindwa lakini pia hatujaamua. Tupotupo tu.
Sasa usawa huu wa Magu tenaa!!tabia mbaya....usinikumbushe kile kibao....me napenda kupigwa na pesa[emoji276] sio mkono mtupu.....
Haha next day...sio siku ile ile thoSasa usawa huu wa Magu tenaa!!
Kwa hiyo bae wako sku ile alikuacha na ka mtonyo baada ya tukio!!?
Tale ni mnafikiUkiangalia kwa makini hawa jamaa walibase ktk kumsaidia aimarike kiafya ya mwili na cyo kiakili maana alivyonenepa akitoka sober waliona tayar kaacha
Daaamn!! Tukio liliniuma sana lile! Ila kama alikupooza na ki jinamna utakuwa ulifurahi tu.Haha next day...sio siku ile ile tho
[emoji28]haha...byeee nakuacha....naingia mzigoni...mwanamke usafiii[emoji126] [emoji126] [emoji126]Daaamn!! Tukio liliniuma sana lile! Ila kama alikupooza na ki jinamna utakuwa ulifurahi tu.
Hahaha!! Ifike stage unifikirie mtu mpole sana na mkali kwenye maeneno ya msingi kama mimi vile.
Poa scorpio me[emoji28]haha...byeee nakuacha....naingia mzigoni...mwanamke usafiii[emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Halafu uzuri mimi huwa sipigi watoto wa kike ngumi
Nawapiga ki namna
[emoji125]
Aaah![emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Hivi rehab kwa wastan ilitakiwa akae time ipi!?Kitendo cha kumtoa rehab ilikuwa first class mistake hata wao walijua atarudi tu unless kama babu alikuwa anataka pata sifa
Hivi yule mwingine Ray C,kachomoka kwenye haya madude??Hivi rehab kwa wastan ilitakiwa akae time ipi!?
Ray c naye haelweki yaan mara wana sema amepona, mara utaskia aah imebid arudishweHivi yule mwingine Ray C,kachomoka kwenye haya madude??