Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

Hivi kabla chidi hajaanza kula unga, hakukuwa na mateja ambao tayari walishaathirika na unga kweli?
Hivi chidi hakuwaona?
Aliwaonea huruma au alitamani kuwa kama wao?
Je tunajua hata yule teja tunaemuona karaha pale stendi ya mabasi nae alikuwa smart, na afya tele tena zaidi ya chidi?
Hivi tukimbana na kumuuliza chidi alipoutoa unga, mpaka tukampata mfalme wao anaeuingiza nchini hatuwezi kufanikiwa kuutokomeza?
UKIMWI hauna agent, akupae unaweza usimtambue, acha tuendelewe kugawa ARV, lakini hata unga kweli akupae humjui?

Kuna yule aliyesaidiwa na rais, hivi kweli mheshimiwa angeshindwa kumuuliza yule binti akampa channel nzima, nao wakabanwa tukautokomeza huo mtandao?

Kwakweli hapana, hatujashindwa lakini pia hatujaamua. Tupotupo tu.
Mfalme utakuta ni kiongoz wa chama na Serikal Sheria hapo huwa inakuwa sio msemeno tena
 
Haha next day...sio siku ile ile tho
Daaamn!! Tukio liliniuma sana lile! Ila kama alikupooza na ki jinamna utakuwa ulifurahi tu.

Hahaha!! Ifike stage unifikirie mtu mpole sana na mkali kwenye maeneno ya msingi kama mimi vile.
 
Daaamn!! Tukio liliniuma sana lile! Ila kama alikupooza na ki jinamna utakuwa ulifurahi tu.

Hahaha!! Ifike stage unifikirie mtu mpole sana na mkali kwenye maeneno ya msingi kama mimi vile.
[emoji28]haha...byeee nakuacha....naingia mzigoni...mwanamke usafiii[emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Kitendo cha kumtoa rehab ilikuwa first class mistake hata wao walijua atarudi tu unless kama babu alikuwa anataka pata sifa
 
Back
Top Bottom