Chidi Benz arudia madawa ya kulevya, Babu Tale aapa kutomsaidia tena!

Una ushahidi na hili? Be carafully!
Hii mambo ya ushaidi unayo ndo inaendelea kuua Tz

Manake mtu akishauliza ushaidi basi anaogopa na kukaa kimya...

Amina chifupa walimtoa chap tuu manake alikuwa anagusa wakuu..
...uliza wala unga wanajua[emoji41][emoji41]
 
Haya madawa nouma sana! Bad enough wanaathirika ni hawa wanao nunua dawa chafu ile ya kiwango cha chini....

Hii inakuaribu totally! Serikali mkuu inapambana na watu wanatafuta freedom of speech

Kizazi kinakula unga huko mtaani..!

Kama serikali ingewekeza nguvu nyingi katika hili kama ilivyofanya kwa watumishi hewa kizazi kingepona...

Mbona china wameweza?
Mbona indonesia wameweza?

Its just a matter of commitment! [emoji41][emoji41][emoji41]
 
Nan huyo
 
siku zote anaeanza kuvuta unga huwa Ana imani kuwa hawezi kuchoka mpaka awe mpiga debe.

Imani hii ndio huwa inawaponza vijana wengi.
Namjua Chid vizuri nje ya mziki wake tumekuwa pamoja pale maghorofani Ilala.

Chid ni mkorofi toka tunakuwa mgomvi,mlevi na mtemi na Chid aliharibika zaidi na kuingia kwenye madawa baada ya Mshkaji wake Modi Bize kurudi bongo toka South Africa yule ndio alimuingiza Chid kwenye madawa.

Kwa hatua aliyofikia sasa sio rahisi kutoka kila mtu amekata tamaa kuanzia mama ake mpaka washkaji wanaomzunguka.
 
So sad...The rise and fall of ChidBenz.
 
Mm cmkasirikii chidy lakn najiulza mzaz wake ameshindwa kabsa kumsaidia chidy au ndo amesha give up which is awkward/impossible and unthinkable kwa mzaz ku give up kwa mtoto lakn any way cjui c2ation iko vp so limebakia ni swal tu, but kiukwel Mungu Amsaide kaka yangu huyo na hata hao akna babu tale wasikate tamaa, mbna alvyokua kweny peak walikua "bumper to bumper" sasa hv ana shida ambayo kwangu mm nasema co impossible lakn inahtaj uvumlvu kuisha ndo wanaongea hvyo af Mungu epushe mbal mtu akitutoka wataongea maneno mazur sana but ni unafiki...I'm more than sure kwamba mpaka chidy anafka kweny c2ation hii, they know the whole story n' what's hidden inside it labda nngepata nafac nngemshaur kaka ang awaweke wazi wanafiki wanaotuua vjana wenzao kwa mgongo wa kuwa manage lakn kumbe wanawatambulsha kwenye ulimwengu wenye matatzo ambayo yakizidi "expetations" zao za kuya control wanaku "abandon" same as Rashid..#i believe in a free tz..free from corruption, bloodshed, drugs n' many more..speak up rashidy, angalau uwape warning wale amabao wako kwenye mkumbo amabao umekufanya ww ufike hapo ulipo,do it for your fellow youth, do it for the Mothers who weep for the loss of their loved ones(children n' husbands) but most importantly Rashidy, u should do it for the Man power of the United Republic of Tanzania.start building the free tz that envision bro, It starts with us..
 
Nitamwaribia Mkuu na siwezi kumtaja ila Wasanii wenzie wanalijua sana hili nililolisema hapa na hata huyo Mtu wanamjua mno. Nasisitiza tena kusema kuwa LAANA huwa haina TIBA na naomba niishie hapa tafadhali.
Mmmmh haya mkuu, I got nothing to say
 
Huyo wakike yaweza kuwa Chiku k au sio mkuu
 
Mama ake yupo Na ndie anajitaidi kuzunguka kwa watu tofauti tofauti ili wamsaidie mwanae.

Na hata Chid alipotoka rehab mama ake alikuwa anazunguka nae usiku kila Chid anapofanya show ili awe karibu Na mwanae Na kuongea Na wadau wasimtupe mwanae bali wamsaidie.

Na kila siku mama ake analia Chid arudi kufanya kazi Na kina babu Tale ila Chid hataki anasema wakina Tale wanamuibia wanamtumia tu bila yeye kupata chochote.

Chid ni mbishi na mjuaji aliuza nyumba yao Ilala mpaka Leo mama yake anaishi kwa ndugu huku chid Mwenyewe akiwa anatanga tanga maana ndugu hawamtaki hataharibu watoto wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…