KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,519
- 6,518
Pamoja na mapungufu yake lakini namsifu sana yule Rais wa Ufilipino kwa kuamua kuwakamata na kuwanyonga wauza madawa ya kulevya. Ingawa kumekuwepo na utaratibu wa kuwakamata lakini unaonekana ni wa nguvu ya soda. Hapa tunawalea na kuwabembeleza sana hawa wauza unga, ipo haja ya kujifunza kutoka Ufilipino.