Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonaee...Dudubaya alikuwa sahihi ila watu walimwelewa vibaya tu.
Kuna mengi unayajua ambayo wengi hatuyajui hebu tuambie,kuna nini ndani ya hizo dawa kinachofanya mtu hasiweze kuacha ???Hizo heroin za kiarabu ukizama kuacha ni ngumu asubirie kifo tu maana hamna namna.. Kuna Ile cocaine ya watasha kutoka Brazil bt expensive for indigenous people hiyo ukizama ni rahisi kuacha once.
hiyo ni sawa na kulamba asali,daima hutokaa uiache au ni sawa na kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu anayejua kuhondomola,lazima utake na utake tena kila sikuHuwa najiuliza kitu kimoja kwanini wakiingia hawatokii humo na kwann inakuwa ngumu kuyaacha wakiingia sasa kuna raha ganii kutumia kitu ambacho ni cha hatar
Kuna mengi unayajua ambayo wengi hatuyajui hebu tuambie,kuna nini ndani ya hizo dawa kinachofanya mtu hasiweze kuacha ???
Kuna mengi unayajua ambayo wengi hatuyajui hebu tuambie,kuna nini ndani ya hizo dawa kinachofanya mtu hasiweze kuacha ???
Ni sawa na kuacha kugegeda muda uliozoea. Nawaza tuHuwa najiuliza kitu kimoja kwanini wakiingia hawatokii humo na kwann inakuwa ngumu kuyaacha wakiingia sasa kuna raha ganii kutumia kitu ambacho ni cha hatar
Watumiaji mnapendana sana kabla hayajawaharibuUzushi mtupu chidi nimemuona mbona yuko poa tu!!
Mbona sijasikia Teja amewahi kukamatwa ili akaonyeshe mahali anaponunua hayo madawa ya kulevya?
Kila siku ni SOBER HOUSE tu!
duuh bob upo? long kitambo sijakuona jf!!Aendelee Kujidunga tu ILALAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA LA FAMILIAAAAAAAAAAAAAAAAAA KING KOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOONG.
Dudubaya aliwahi kutoa ushauri kuhusu Chidbenz watu wakamshambulia kuwa ana roho mbaya.hawezi kuacha madawa ya kulevya
Sure.. Km mtu hajaridhia kitu toka moyoni, ngumu wewe kumbadilisha.Uyo kalapina hivi haon watu wanaohitaji msaada wa sober pale wibu kila siku n chidi uyo mtu hajakubaliana na hali ya kuacha madawa wamwache akiwa tayali atawatafuta wenyewe sio kumfosi kama ivyo