Chidi benzi karudia matumizi ya madawa ya kulevya

Chidi benzi karudia matumizi ya madawa ya kulevya

Alosto ziko nyingi ...umalaya wa akina dada poa ni alosto,wanaume wachepukaji ni alosto,wizi/ukabaji ni alosto....kula unga ndo manlikaznia tuuuu.....watu saivi washadevelop wanakula mchele badala ya unga..
 
Hizo heroin za kiarabu ukizama kuacha ni ngumu asubirie kifo tu maana hamna namna.. Kuna Ile cocaine ya watasha kutoka Brazil bt expensive for indigenous people hiyo ukizama ni rahisi kuacha once.
 
Hizo heroin za kiarabu ukizama kuacha ni ngumu asubirie kifo tu maana hamna namna.. Kuna Ile cocaine ya watasha kutoka Brazil bt expensive for indigenous people hiyo ukizama ni rahisi kuacha once.
Kuna mengi unayajua ambayo wengi hatuyajui hebu tuambie,kuna nini ndani ya hizo dawa kinachofanya mtu hasiweze kuacha ???
 
Nadhani addiction ya madawa ni ngumu sana kuacha inahitaji mental strength ya hali ya juu sasa kibongo bongo jamaa hana sapoti ya kisaikolojia ni rahisi sana kurudia. Japo yeye pia anauwamuzi wa kuacha lkn pia bado hakuna mfumo mzuri kumsaidia muathirika kuacha
 
Masikini. .hapo ni MKONO WA MOLA tu ndiyo unaweza kumtoa. .
 
Huwa najiuliza kitu kimoja kwanini wakiingia hawatokii humo na kwann inakuwa ngumu kuyaacha wakiingia sasa kuna raha ganii kutumia kitu ambacho ni cha hatar
hiyo ni sawa na kulamba asali,daima hutokaa uiache au ni sawa na kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu anayejua kuhondomola,lazima utake na utake tena kila siku
 
Kawaida mkuu anyway ntaongea siku nyingine.

Kuna mengi unayajua ambayo wengi hatuyajui hebu tuambie,kuna nini ndani ya hizo dawa kinachofanya mtu hasiweze kuacha ???
 
Kuna mengi unayajua ambayo wengi hatuyajui hebu tuambie,kuna nini ndani ya hizo dawa kinachofanya mtu hasiweze kuacha ???

Madawa ya kulevya hususani opioids huleta kitu kinaitwa Euphoria,yani mtu anajisikia raha ,yuko fresh,makini etc

Sasa madawa haya hufanya kazi kwenye ubungo na kupelekea addiction na dependence kwamba bila hayo mtu hawezi kufanya kitu chochote

Ukiacha kuyatumia unapata withdrawal symptoms ndio maana watu hupewa methadone kupunguza hizo symptoms na inachukua miaka mingi kujiondoa completely from that shit,hizi za uteja wa miaka mitano halafu sober house miezi miwili,hakuna lolote hapo
 
Huwa najiuliza kitu kimoja kwanini wakiingia hawatokii humo na kwann inakuwa ngumu kuyaacha wakiingia sasa kuna raha ganii kutumia kitu ambacho ni cha hatar
Ni sawa na kuacha kugegeda muda uliozoea. Nawaza tu
 
Mbona sijasikia Teja amewahi kukamatwa ili akaonyeshe mahali anaponunua hayo madawa ya kulevya?
Kila siku ni SOBER HOUSE tu!

Kwani nani kakwambia hawawajui wauza madawa? Au mnataka kuwaonea mateja wachovu Tu?
 
Uyo kalapina hivi haon watu wanaohitaji msaada wa sober pale wibu kila siku n chidi uyo mtu hajakubaliana na hali ya kuacha madawa wamwache akiwa tayali atawatafuta wenyewe sio kumfosi kama ivyo
Sure.. Km mtu hajaridhia kitu toka moyoni, ngumu wewe kumbadilisha.
 
Back
Top Bottom