Chidi benzi karudia matumizi ya madawa ya kulevya

Pamoja na mapungufu yake lakini namsifu sana yule Rais wa Ufilipino kwa kuamua kuwakamata na kuwanyonga wauza madawa ya kulevya. Ingawa kumekuwepo na utaratibu wa kuwakamata lakini unaonekana ni wa nguvu ya soda. Hapa tunawalea na kuwabembeleza sana hawa wauza unga, ipo haja ya kujifunza kutoka Ufilipino.
 
Kuacha hiyo kitu sio simple kama wengi wabavyodhani...Arosto Noma.
 
Apelekwe mirembe yeye na Ray c. Waachwe miaka miwili watanyooka
 
Uyo kalapina hivi haon watu wanaohitaji msaada wa sober pale wibu kila siku n chidi uyo mtu hajakubaliana na hali ya kuacha madawa wamwache akiwa tayali atawatafuta wenyewe sio kumfosi kama ivyo
lini Paka alisahau mambo yake? wamuacheeee ajidungee alaaah
 
Hii kitu ukishaonja inakuwa cronic kwenye damu ndo maana ray c alirudia tena kubwia unga sycologically m2 taari keshaathirika NO WAY OUT dearth it become leter!
 
Kuu acha unga si kazi rahisi ....inabidi abadili life system yote ....kuanzia na marafiki .
Waa ngalie pia inawezekana kuna mtu au watu wa karibu yake wanamtilia vitu vile ...sasa kama hajashtuka hapo ndo kesha ....
 
Ujue Mi Nahisi labda ni kiki anataka kutoa Wimbo mpya...
 
Uongo mtupu chini yupo fresh na hayupo mtaani bado yupo WCB na anakaa Madale kwa Diamond...hiyo ni Kiki ya wimbo wake mpya ambao anataka kutoa hivi karibuni.
 
Nam-quote Dudu Baya alichokisema juu ya Chid Benz:-makaburi yapo mengi na nchi ina ardhi ya kutosha ya kuzika watu so aachwe kama alivyo hayo ni maisha aliyoyachagua mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…