Chief Godlove anachekesha kwamba kujiunga na jicho la tatu ni 150k😂😂

Chief Godlove anachekesha kwamba kujiunga na jicho la tatu ni 150k😂😂

Siyo kukosa elimu, ni kukosa maarifa na hekima.
Tamaa za kutaka mafanikio ya haraka bila kujua njia sahihi.
Huyo jamaa anawavuna akili watu na kuendelea kupiga pesa za malofa.

Ukiona unaotiwa fursa, basi elewa kuwa wewe ndiyo fursa ( bidhaa) yenyewe.
 
Kuna vitu vinachekesha.

Kwamba kwenye hilo group mtafundishwa jinsi ya kujiponya magonjwa na kuwa matajiri😁😁.

Na huwezi amini kuna watu wanajaa.

Stori za kitoto kibao, Ama kweli kukosa elimu ni MZIGO.
Hii ni jamii ingine ya desi
 
Jamaa anawavutia vijana wengi kwamba watafute hela ilihali wengi wao wanatafuta hela kwa kujiajili au kuajiliwa ila hawawezi kufikia level ya maisha anayoyaonyesha huyu jamaa..sasa hawajiulizi watafutaje zaidi ya wanavyotafuta..manake waende kwenye hilo jivho la 3 ambalo hawalijui inawabidi watoe hicho kiingilio..naamini jamaa anakusanya pesa zao 150k kwa wengi mfano wakituma watu 100 kwa siku anapata 15,000,000ml akizitoa anapiga nazo picha..vijana wanawewuka wanatuma tena na tena....haaha wanajaa kwenye mfumo
 
Kuna vitu vinachekesha.

Kwamba kwenye hilo group mtafundishwa jinsi ya kujiponya magonjwa na kuwa matajiri😁😁.

Na huwezi amini kuna watu wanajaa.

Stori za kitoto kibao, Ama kweli kukosa elimu ni MZIGO.
Jamaa amekua maarufu kwa kuegemea Magari ya kifahari na kusema tafuta hela tafuta hela
 
Back
Top Bottom